Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hahahahaaa, eti aandikiwe wapi? Kwenye email?
Umenivunja mbavu atoto.

Hahahaaaaa walitaka ushauri wa zingifuri angeenda kuuandika amtumie kwenye email. Hahahaaa huyu zingifuri anayetuandikaga apa kila siku kwa nini asitufate pm?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa, eti aandikiwe wapi? Kwenye email?
Umenivunja mbavu atoto.

Hahahaaaaa walitaka ushauri wa zingifuri angeenda kuuandika amtumie kwenye email. Hahahaaa huyu zingifuri anayetuandikaga apa kila siku kwa nini asitufate pm?
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiii, yakiandikwa kwa ndomo eti aandikiwe kwenye email, kwani yale mnayoandikaga kuhusu Kiba humu wanashindwa kumwandikia kwenye email??? Huhuhuuuuuuu mtenda akitendwa!!

mavi yyyaaaoooo
 
Na tutahitimisha kwa kumpeleka mjengoni Mheshimiwa Wema Sepetu kwanza ana akili kubwa tu kuliko wabunge wengi mizigooo wa ccm wanaojaza nafasi bure mjengoni kwa kuitikia tu ndioooooooo.
yyaani nimejikuta nampenda wemaaa...!!
 
Diamond yupo busy ndani ya studio mida hii akirekodi Pan African Collabo na D... (unataka kujua jina kasome uone) smile... ndani ya Universal Studios

Kaa mkao chanjo mbeleni usipitwe na kibao hicho...

Haya

Kumpigia kura Diamond Platnumz wetu, m Tanzania mwenzetu kama sie fans wake watanzania halisi.

Ingia link hii chini, bonyeza bonyeza usichoke tujivunie uTanzania wetu sie.

http://mama.mtv.com/voting/

View attachment 261248
 
Diamond yupo busy ndani ya studio mida hii akirekodi Pan African Collabo na D... (mgeni wetu unataka jua jina kasome uone) smile... ndani ya Universal Studios

Kaa mkao chanjo mbeleni usipitwe na kibao hicho...(ujumbe wa wageni wetu)

Haya

Kumpigia kura Diamond Platnumz wetu, m Tanzania mwenzetu kama sie fans wake watanzania halisi.

Ingia link hii chini, bonyeza bonyeza usichoke tujivunie uTanzania wetu sie.

http://mama.mtv.com/voting/

View attachment 261250
 
Ndugu usicho jua ki kwamba basata ndio walio alibu ktma ya mwaka huu ..wanadanganya watu kuwa wslioiga kula saws kula piga ila kuwatu wanaitwa majaji handio walio pewa pesa na kualibu matokeo sio kama diamondplanamz alishindwa

Kama shabiki mwenyewe hujui hata kuandika, mondi kala hasara.
 
Last edited by a moderator:
Wakati naendelea kukua, Lucas Mkenda (Mr. Nice) alikuwa juu kuliko chochoote na ninasema hivi sababu wakati nasoma chuo kimoja pale Moshi alikuwa anaishi geto moja nyumba ya pili kutoka nyumbani kwetu pale Moshi Mbuyuni, alikuwa anacheza show za Kibo Gold Beers.

Baada ya muda nikamuona tena nikamsikia na kumuona na mafanikio sanaaa na habari ya kuku kapanda baiskeli ndo ilikuwa active.. Alipewa tender na Papaa King Arusha kupiga Tripple A, akapewa chumba cha kulala na marehemu Erasto Msuya (Rest in peace Boss Msuya) akawa na anatudharaaaaau!

Leo sijui yuko wapi maskini!? Ila nikimuona Mr Nice ntamkumbusha mtaani kwetu, halafu Diamond usitudharau baada ya sisi kukuweka ulipo..

 
hodiiiiiiiiiiiiiii


  • Mwisho kabisa kwa leo ni kauli. mimi ni fans Mkubwa sana wa daimoond ila kijana hana kauli kabisa. bado ana maisha ya uswahili uswahili wa tandale. Daimond wewe ni staa maneno ya kiswahili na vijembe kwa ma ex zako usiwe unaweka kwenye page yako halileti picha nzuri ata kwa watu walio nje ya nchi. mara uandike... ndimuu zitawahusu mwaka huu .. wakina nani sasa? Mimi kiba simpendi ata kidogo ila Dogo yule ana akili sana na kafunzwa namna ya kuishi na watu wazuri na wabaya. kiba huwezi kukuta kwenye page yake kaandika upuuzi wa ajabu ajabu maana anajua madhara yake ya baadae. maneno yanamcost mtu kuwa makini.
Plz and plz VOTE for Dimond ATAKUJA KUJUTIA DHAMBI ZAKE WENYEWE. ATA MAANDIKO YANASEMA TUSIHUKUMU TUSIJE TUKAHUKUMIWA. tusimwache kijana aliyeipeperusha bendera vyema akaaibika kwa kuchukiwa.

Blue:

Hebu tujifunze kutofautisha kati ya kutokumkubali mtu na kutokumpenda.Inawezekana ukawa humkubali Ali Kiba kutona na style yake ya mziki,lakini unaposema humpendi unanipa mashaka mkuu,labda kama unasababu zako binafsi

Binafsi naweza nkasema simkubali Diamond lakini sitokuja kumchukia
 
East meet South
 

Attachments

  • 1434567968796.jpg
    1434567968796.jpg
    49 KB · Views: 63
mkiwapenda mkiwachukia sawa na bure hata hawa wafahamu anaependa ku vote a vote asie taka basii kila mtu anasimu yake humu ndani ya jf tu hatujuani sembuse mond na kiba hizo ni roho ndogo na udhaifu wa nafsi
 
Kuhusu kusema ndimu lazima awaambie hivi huoni kila siku dogmbwa anamyotukana Daimond kila siku Hua huzioni inafikia muda nae anachoka anaona awalishe ndimu na malimau kumbuka ni mtu kama wewe huyo sema ye ni star
Baba yake alimtelekeza hakujua thamani yake ,Kuna ubaya nae akimuacha aende zake,ingekua ni laana basi hata Leo Daimond asingefanikiwa kama ni hivyo kumbuka mola ndio mgawa ridhiki sio nyie binadam wenye kuhukumu Tu
Huyo ni star lazima aanike au asianike ni hiyari yake mbona instagram Kuna watu wanaanika vitu hamuwasemii
mwisho usimlinganishe Daimond na huyo mbebwaji wa wanawake maex wa Daimond (makombo) ,mlinganishe na shilole au misukule yake humu ,
Nadhan mmenielewa halaf sio lazima sanaaa mtu kuniqoute

ALUUUUUUUUU.....SAamahani nime kukotiiiiii
 
Back
Top Bottom