charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 5,992
umetiiisher sana msemaji wa dimondo..hivi unakumbuka kupiga kura lakini...baadae stakii lawama bwahahahahah..kuhusu kusema ndimu lazima awaambie hivi huoni kila siku dogmbwa anamyotukana daimond kila siku hua huzioni inafikia muda nae anachoka anaona awalishe ndimu na malimau kumbuka ni mtu kama wewe huyo sema ye ni star
baba yake alimtelekeza hakujua thamani yake ,kuna ubaya nae akimuacha aende zake,ingekua ni laana basi hata leo daimond asingefanikiwa kama ni hivyo kumbuka mola ndio mgawa ridhiki sio nyie binadam wenye kuhukumu tu
huyo ni star lazima aanike au asianike ni hiyari yake mbona instagram kuna watu wanaanika vitu hamuwasemii
mwisho usimlinganishe daimond na huyo mbebwaji wa wanawake maex wa daimond (makombo) ,mlinganishe na shilole au misukule yake humu ,
nadhan mmenielewa halaf sio lazima sanaaa mtu kuniqoute