Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu kusema ndimu lazima awaambie hivi huoni kila siku dogmbwa anamyotukana Daimond kila siku Hua huzioni inafikia muda nae anachoka anaona awalishe ndimu na malimau kumbuka ni mtu kama wewe huyo sema ye ni star
Baba yake alimtelekeza hakujua thamani yake ,Kuna ubaya nae akimuacha aende zake,ingekua ni laana basi hata Leo Daimond asingefanikiwa kama ni hivyo kumbuka mola ndio mgawa ridhiki sio nyie binadam wenye kuhukumu Tu
Huyo ni star lazima aanike au asianike ni hiyari yake mbona instagram Kuna watu wanaanika vitu hamuwasemii
mwisho usimlinganishe Daimond na huyo mbebwaji wa wanawake maex wa Daimond (makombo) ,mlinganishe na shilole au misukule yake humu ,
Nadhan mmenielewa halaf sio lazima sanaaa mtu kuniqoute
Duuuuuh kweli sikio la kufa halisikii dawa, haya wazalendo endeleeni na nyodo hivyo hivyo
Jamani zingifuri anajua kunikomeshea watu jamani. Walizoea kila siku zingifuri anatuandika tuu fans wa kiba leo katoa somo zuri sana.
Nimegundua kati ya fans wa domo zingifuri tuu ndo ana akili halaumu tuu anatafuta na chanzo.
wamezoea vya kunyongaa...!!
Heeeeeee huyu ni zingifuri ninayemjua mimi? Ebu nifah ujege na huku Ms.Lincoln Avemaria Diva Beyonce [MENTION=94114][/MENTION] Mrembo by Nature Matola The Name pwilo geniveros njooni wote jaman msikose huu ushauri.
Kumbe wanajua sababu eee kazi kwao
Wew zingifuri umemshauri kweli ila mimi kura yangu hapati ng'ooooooo mpaka aombe msamaha
Heeeeeee huyu ni zingifuri ninayemjua mimi? Ebu nifah ujege na huku Ms.Lincoln Avemaria Diva Beyonce [MENTION=94114][/MENTION] Mrembo by Nature Matola The Name pwilo geniveros njooni wote jaman msikose huu ushauri.
Kumbe wanajua sababu eee kazi kwao
Ni kama vile unashadadia account ya pili ya JF.
ivi wew una kunyavkunya nini? Kwa hiyo ulitaka zingifuri asimshauri bosi wake?Hata usipopiga aimaanishi huyo mwingine atapaaaaa unajua amuwezi kumfikia kaa na roho mbaya kamsome bikra wa kisukuma insta amewahitaje
Duh wewe unalako
Mbona hauna haibu kukaa chini na kumwandikia gazeti, wakati yupo Tandale anauza mitumba mbona haukumwandikia gazeti.
Unapomsema mtu na kusema alifanya hivi na vile
Shusha
Time
Eneo
Alimwambia nani majina
Nani akaja viongea
Unakuja na gia eti fan mkubwa umeshindwa kumwandikia kwenye e-mail?
Yaleyale tu
Bora hata kaongea ukweli kwa timu yake mana mchawi wa mtu ni mtu mwenyewe.
Timu yake kazi kulaani na kulalamika daily.Hawafanyii kazi chanzo cha tatizo msanii yoyote laxma kuwa makini na kauli kamwe huwezi kuwalambisha ndimu mashabiki lazima uumie tu.
Sijawahi ona msanii anayewalambisha ndimu ma fans hafu utegemee wakupe support.
Hyo tabia ya kuita wanawake makombo na kujibishana nao ndo inayompoteza mana wale ndo mashabiki wakubwa.
Ka anajiona kidume aendelee kulambisha watu ndimu atajajutraaaaaaa.
Kuhusu kusema ndimu lazima awaambie hivi huoni kila siku dogmbwa anamyotukana Daimond kila siku Hua huzioni inafikia muda nae anachoka anaona awalishe ndimu na malimau kumbuka ni mtu kama wewe huyo sema ye ni star
Baba yake alimtelekeza hakujua thamani yake ,Kuna ubaya nae akimuacha aende zake,ingekua ni laana basi hata Leo Daimond asingefanikiwa kama ni hivyo kumbuka mola ndio mgawa ridhiki sio nyie binadam wenye kuhukumu Tu
Huyo ni star lazima aanike au asianike ni hiyari yake mbona instagram Kuna watu wanaanika vitu hamuwasemii
mwisho usimlinganishe Daimond na huyo mbebwaji wa wanawake maex wa Daimond (makombo) ,mlinganishe na shilole au misukule yake humu ,
Nadhan mmenielewa halaf sio lazima sanaaa mtu kuniqoute
Hata usipopiga aimaanishi huyo mwingine atapaaaaa unajua amuwezi kumfikia kaa na roho mbaya kamsome bikra wa kisukuma insta amewahitaje
Duuuuuh kweli sikio la kufa halisikii dawa, haya wazalendo endeleeni na nyodo hivyo hivyo
Kuhusu kusema ndimu lazima awaambie hivi huoni kila siku dogmbwa anamyotukana Daimond kila siku Hua huzioni inafikia muda nae anachoka anaona awalishe ndimu na malimau kumbuka ni mtu kama wewe huyo sema ye ni star
Baba yake alimtelekeza hakujua thamani yake ,Kuna ubaya nae akimuacha aende zake,ingekua ni laana basi hata Leo Daimond asingefanikiwa kama ni hivyo kumbuka mola ndio mgawa ridhiki sio nyie binadam wenye kuhukumu Tu
Huyo ni star lazima aanike au asianike ni hiyari yake mbona instagram Kuna watu wanaanika vitu hamuwasemii
mwisho usimlinganishe Daimond na huyo mbebwaji wa wanawake maex wa Daimond (makombo) ,mlinganishe na shilole au misukule yake humu ,
Nadhan mmenielewa halaf sio lazima sanaaa mtu kuniqoute
Mambo?
Mi nmekuquote....teh teh teh!