wazabangah1
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 315
- 114
Yetu macho.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wera wera....masikini hana adui babu. ngoja azipatee...!
Uwiiiii, yakiandikwa kwa ndomo eti aandikiwe kwenye email, kwani yale mnayoandikaga kuhusu Kiba humu wanashindwa kumwandikia kwenye email??? Huhuhuuuuuuu mtenda akitendwa!!
yyaani nimejikuta nampenda wemaaa...!!Na tutahitimisha kwa kumpeleka mjengoni Mheshimiwa Wema Sepetu kwanza ana akili kubwa tu kuliko wabunge wengi mizigooo wa ccm wanaojaza nafasi bure mjengoni kwa kuitikia tu ndioooooooo.
mkuu zingifuri umekula maharage ya wapi?
Ndugu usicho jua ki kwamba basata ndio walio alibu ktma ya mwaka huu ..wanadanganya watu kuwa wslioiga kula saws kula piga ila kuwatu wanaitwa majaji handio walio pewa pesa na kualibu matokeo sio kama diamondplanamz alishindwa
hodiiiiiiiiiiiiiii
Plz and plz VOTE for Dimond ATAKUJA KUJUTIA DHAMBI ZAKE WENYEWE. ATA MAANDIKO YANASEMA TUSIHUKUMU TUSIJE TUKAHUKUMIWA. tusimwache kijana aliyeipeperusha bendera vyema akaaibika kwa kuchukiwa.
- Mwisho kabisa kwa leo ni kauli. mimi ni fans Mkubwa sana wa daimoond ila kijana hana kauli kabisa. bado ana maisha ya uswahili uswahili wa tandale. Daimond wewe ni staa maneno ya kiswahili na vijembe kwa ma ex zako usiwe unaweka kwenye page yako halileti picha nzuri ata kwa watu walio nje ya nchi. mara uandike... ndimuu zitawahusu mwaka huu .. wakina nani sasa? Mimi kiba simpendi ata kidogo ila Dogo yule ana akili sana na kafunzwa namna ya kuishi na watu wazuri na wabaya. kiba huwezi kukuta kwenye page yake kaandika upuuzi wa ajabu ajabu maana anajua madhara yake ya baadae. maneno yanamcost mtu kuwa makini.
Kuna mwingine atajitokeza kumshauri diamond apige kuanzia vitatu make yeye ni mtu maarufu.......!!!
Kuhusu kusema ndimu lazima awaambie hivi huoni kila siku dogmbwa anamyotukana Daimond kila siku Hua huzioni inafikia muda nae anachoka anaona awalishe ndimu na malimau kumbuka ni mtu kama wewe huyo sema ye ni star
Baba yake alimtelekeza hakujua thamani yake ,Kuna ubaya nae akimuacha aende zake,ingekua ni laana basi hata Leo Daimond asingefanikiwa kama ni hivyo kumbuka mola ndio mgawa ridhiki sio nyie binadam wenye kuhukumu Tu
Huyo ni star lazima aanike au asianike ni hiyari yake mbona instagram Kuna watu wanaanika vitu hamuwasemii
mwisho usimlinganishe Daimond na huyo mbebwaji wa wanawake maex wa Daimond (makombo) ,mlinganishe na shilole au misukule yake humu ,
Nadhan mmenielewa halaf sio lazima sanaaa mtu kuniqoute