Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

wakuu tusisahau kupigia diamond kura za chanel o kura zetu ndio ushindi..
 
wale wa mvaa moka wanachungulia kwa mbali halafu wanaenda kuugulia kule kwao.
 
Nshaona kuna watu wanaanzisha matusi makusudi ili uzi ufungiwe....hapo mshafeli
 
anaona raha kupanga ha ha ha hayo ni maneno ya kukata tamaa daah.

Umejitia kimbelembele kufungua thread ya kujifanya kumpa ushauri domomond SAA hz mnaanza jadili watu
This time KiBA is here to stay mtachonga Sana ila ndoo anzidi kupata kick
 

Ligi imehamia kitandani best mmmmh
 
huu uzi umenifanya niufatilie then nicheke....

Diamond ana ngoma inaitwa ukimwona...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…