Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Jamani bingwa wa matusi ni shetani mwenyewe ukiona binadamu unatukana ujue wewe ni agent wa shetani hapa Jf
 
ebanaee kuna kichupa diamond anataka kukitoa kitakua shida... ingieni insta yake

ova
 
Umejitia kimbelembele kufungua thread ya kujifanya kumpa ushauri domomond SAA hz mnaanza jadili watu
This time KiBA is here to stay mtachonga Sana ila ndoo anzidi kupata kick

haters kama kawaida yenu mna chungulia kwa machale machale tu.
 
Mi mwanzo sikuaminiiiiii

Nikajuaga vya kuzoa

Kumbe Mjinga ni Mimi ninaechunwa wenzangu wanachukua,

Ooooo Mapenziii yamenifanya kama mtoto nilie vibaya.......
 
ebanaee kuna kichupa diamond anataka kukitoa kitakua shida... ingieni insta yake

ova

Can't wait
1416217720848.jpg
 
Jamaa anawekeza sana kwenye video hadi raha.. kichupa high quality. nafkiri huu utakua ule wimbo wa "Nikilala ananijia" aliotuonjesha kipande

sijui lini anaachia maana naisubiria kwa hamu
 
Ile track mkuu imetulia sana aisee full kuwapoteza, nadhani team kiba huko waliko haja kubwa inagonga kwenye ch#pi.
 
Hahaha ni bora wajisalimishe mapema..maana ni ruksa kujiunga team chibu
 
yule kiongozi wao anae gombana kila siku na le mutuz naona anapita kimya kimya anagawa like tu ana tamani kuingia kundini ila anaona noma.
 
Kama anaiona hii reply, please unakaribishwa mkuu humu hatuna majungu wala vijembe ni burudani tu..
 
sijui lini anaachia maana naisubiria kwa hamu

Eshy ni bora afanye suprise maana akitutajia tu siku ya uzinduzi basi msanii mwengine anaweza akatoa video tarehe hiyo hiyo ikawa utata..
Ushansoma eeh?
 
Back
Top Bottom