Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


ndo maana uwa hudumu wiki unalimwa ban..
 
Last edited by a moderator:
na mimi namchangia 50 elfu sijui tumkabidhi nani??

Ubarikiwe sana Mrembo by Nature box la Norway linalipa dadake, mchango wako kaa nao kwanza mpaka tupate ushirikiano wa Team Diamond atakayehusika na ukusanyaji huu wa haraambee.

Hivi Bosslady Zari anajuwa Diamond kama ana baba au ameambiwa Baba yake keshakufa? Hili nitalifuatilia kwa kina.
 
Last edited by a moderator:
veeepe kideo cha chukucha, nadhani mngejichangicha muende mkashoot hata mabwepande tu muonekane na nyie star tv...

Uwashangae sasa hawa watu. Yani ni wanafiki mpaka shetani anawakana.
 
veeepe kideo cha chukucha, nadhani
mngejichangicha muende mkashoot hata
mabwepande tu muonekane na nyie star tv...
 
Duh muziki kumshusha umeshindwa sasa kuingilia ya wazazi, na mzazi huyo juzi alisema yupo poa na mwanae na magazeti yanaandika uongo.

Sasa wewe ni nani kutunga na kusahau ulipotoka panapotia huruma, matatizo yamejaaa unasaka kutia aibu kijana wa watu kwa uongo na habari za kale.

Kwani nani hajui baba yake alimtelekeza akiwa mdogo na kumtafuta aliposikia anapaa kimuziki, wivu wenu mbaya angalia yako kwanza mmezidi khaaaa.

Eti Zari hamjui, vinakuhusu nini mapenzi na maisha yao. Mapenzi yako yanaelekea mabaya sanaaaaaa duh wivu
 
Ndo fundisho kukataa watoto sio ishu watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu huwezi jua unamkataa leo, kesho atakua nani na atakusaidiaje....hata wewe Matola umhudumie yule mwanao ulomtelekeza na mie hapa natoa laki kwa ajili ya mwanao ha ha ha na umwambie pia alikiba akusanye wale watoto anaozaa kila kona awalee yasijekumkuta ya baba naseeb
alamsik......!!!
 
Last edited by a moderator:
Hizo pesa SI Una ndugu zako uwachangishieee uwape au ndugu zako wote matajirii

Huyo Baba hakumlea Daimond so jali yako
Mbona wewe umemtelekeza Samira SI umleee ndio matokeo hayo angalia usije kua kama huyo babaa
 

Hebu rudi hapa, Samira nimeshampeleka International school of Tanganyika kwa hiyo nimejirekebisha ni matumaini yangu Billionare Dangote wetu naye atajirekebisha na kuanza kumtumza baba yake.

Ukitaka kumuona.Samira njoo kesho Masaki golf course utamuona anacheza tennis.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha bahati yako umerekebisha kosa mapema baba naseeb alichelewa imekula kwakwe....
 
Watu wenye huruma juu ya Diamond na pesa mnazotoa hata harusini hampewi kadi labda kwenye sherehe za vigodoro mungepewa. Sasa kwa hili kumuonyesha mnazo ungeanzia millioni moja kwenda juu au tatu ile ya kiingilio kuonyesha hata waliolipia Zari's white party wasaidie nao hata zaidi.

Badili kiasi hicho toeni toka ma millioni mpigieni simu babaake aje achukue na tafuteni mapaparazi wawaandike wasamaria wema wenye upenzi wa kiwivu na roho za kutu.

Hapo nitawapigia na vigelegele kijana munayempenda hadi mnataka kufwa.
 


kipindi ulikanaaa tutakuaminijeee???weka ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…