BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Ni wewe kweli umeandika haya. Naona kama naota.
aiseeee umeonaaa eee kumbee ndio style hiyoo,Mara I'd nyingi utakuta wao ndio wana I'd kibao humu
video ya cheketua bado Tu,,,hebu tufungue Uzi wa tuchange jamanii looo
Maajabu leo wanaazna kurudi bt huku we need smart ppl sio bla bla ppl" actions dhidi ya words
afu wao kilasiku wanalalamika oooh teamWCB wana id nyingii, kumbe wenyewe ndo wana ID nyingi,, afu unajua kitu ukiwa unakifanya wewe unahisi na mwenzio anafanya ivoivo kumbe walaaa kujishtukia tu
kweli bana, em kafungue uzi wa kuichangia video ya cheke, cheke, cheke ...hahahaa
video ya cheketua bado Tu,,,hebu tufungue Uzi wa tuchange jamanii looo
hahahaaaa tuwachangie tu maana hamna namna..
Umeonaaa, kumbe tunagombana nao nini sasa jamani.,
cute b sorry kama niliwah kukosea, kumbe tupo pamoja., team best music. Hahaha..
hiii hiiiio hhii hiiiii,yaan wakija jf kuponda hhhhhaaaa heloooooo
afu wao kilasiku wanalalamika oooh teamWCB wana id nyingii, kumbe wenyewe ndo wana ID nyingi,, afu unajua kitu ukiwa unakifanya wewe unahisi na mwenzio anafanya ivoivo kumbe walaaa kujishtukia tu
Maajabu leo wanaazna kurudi bt huku we need smart ppl sio bla bla ppl" actions dhidi ya words
kwa kuponda tu hawajambo, ila ukiwakuta wanacheza sankoro utasema diamond huyu hapaaa kumbe mtu na chuki zake heheheee
Ile pesa Matola alochangisha wakamuombe godfather awacheketulievideo ya cheketua bado Tu,,,hebu tufungue Uzi wa tuchange jamanii looo
Kumbe muuaji yupo na kila siku anatangaza kwenye media aliua ha ha hamange kasema HIV wanamchukia Daimond utafikiri kaua mtoto wa mtu hhhhaaaa
yaan wamekaliaa I'd nyingi I'd nyingi kumbe wanajiongelea wao maskiniii,kujishuku shuku huku yaan wao wazuri kweliii sie wabayaa hhhhaaaaaaa aiseee hawa misukule kibokooo
mi nishawashtukia Hawa huwa wanatoa siri zao bila kujijua
mange kasema HIV wanamchukia Daimond utafikiri kaua mtoto wa mtu hhhhaaaa
mange kasema HIV wanamchukia Daimond utafikiri kaua mtoto wa mtu hhhhaaaa