Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Ha ha ha ha chezea women empowernment!!! Wafanye kupitisha kibubu wachange....wanawake tukiamua tunaweza
tunaweza tuu jamanii,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha chezea women empowernment!!! Wafanye kupitisha kibubu wachange....wanawake tukiamua tunaweza
Ha ha ha anachekecha na kuchekechua unga ha ha ha
Heheheheheeee kazi mnayo mwaka huuu endeleeni kukurupuka ivyo ivyo apa kazi ni moja tuu ku vote for davido hamna cha huruma wala nini! Unafiki tuu umewatawala hamna cha zaidi nyie ni sawa na mikia ya fisi hahahaaa team kiba mtatuwezea wapi? Saizi yenu taarabu acheni sisi tuchekechue na nyongo zitawatoka mwaka huu na unafiki na ushushushuu wenu mpaka mkonde kama mnanyonyesha alafu hamna lishe heheheiyaaaaaaa hamna tofauti ya mwanamke na mwanaume wote mmekalia umbea adi makalio yameota sogu bado kuota tuu mkia mjidhihirishe. Wanafiki mnaong'ata na kupuliza puuu kama panya buku yatawashindaaaaaaaaaa.
Nilale zangu mie nisihangaike na watu wanaotembelea fake juu ya fake id full stop
Ivyo Ivyo= hivyo hivyoHeheheheheeee kazi mnayo mwaka huuu endeleeni kukurupuka ivyo ivyo apa kazi ni moja tuu ku vote for davido hamna cha huruma wala nini! Unafiki tuu umewatawala hamna cha zaidi nyie ni sawa na mikia ya fisi hahahaaa team kiba mtatuwezea wapi? Saizi yenu taarabu acheni sisi tuchekechue na nyongo zitawatoka mwaka huu na unafiki na ushushushuu wenu mpaka mkonde kama mnanyonyesha alafu hamna lishe heheheiyaaaaaaa hamna tofauti ya mwanamke na mwanaume wote mmekalia umbea adi makalio yameota sogu bado kuota tuu mkia mjidhihirishe. Wanafiki mnaong'ata na kupuliza puuu kama panya buku yatawashindaaaaaaaaaa.
Nilale zangu mie nisihangaike na watu wanaotembelea fake juu ya fake id full stop
hahahaaaa kifesi nomaa huwa namkubali kwa madongo anayawezaa
hahahaaa,, nacheka sana leo..
Ivyo Ivyo= hivyo hivyo
apa= hapa
adi= hadi
sitaki kuona kiswahili kinaharibiwa...haya jojoa ulale
Kanye kabisa... kwani usichoamini apo ni nini? Napenda wimbo wake wa UKIMWONA na MAPENZI BASI izo mbili tuu wew kwani ulizani namchukia domo? Kama una chuki na kiba au hupendi wimbo wake ata mmoja ujue wew ni team mkumbo na sio team muziki mzuri
Heheheheheeee kazi mnayo mwaka huuu endeleeni kukurupuka ivyo ivyo apa kazi ni moja tuu ku vote for davido hamna cha huruma wala nini! Unafiki tuu umewatawala hamna cha zaidi nyie ni sawa na mikia ya fisi hahahaaa team kiba mtatuwezea wapi? Saizi yenu taarabu acheni sisi tuchekechue na nyongo zitawatoka mwaka huu na unafiki na ushushushuu wenu mpaka mkonde kama mnanyonyesha alafu hamna lishe heheheiyaaaaaaa hamna tofauti ya mwanamke na mwanaume wote mmekalia umbea adi makalio yameota sogu bado kuota tuu mkia mjidhihirishe. Wanafiki mnaong'ata na kupuliza puuu kama panya buku yatawashindaaaaaaaaaa.
Nilale zangu mie nisihangaike na watu wanaotembelea fake juu ya fake id full stop
Hebu tuambie I'd yako ya zmani ukute ni yule anaempondaga haswa Daimond ,,
Mmoja mmoja ndio mwendo
Who is nexttttttttttttt............
walikua wanajadili tembo labdaaa cc Kendrick
Humu humu na skonga imo, masahihisho namalizia na fimbo mbili za mgongo ha ha hahahahaaaaaah
Nichechee" wamejadiliana kwenye uzi wao kuanzia mchana bila majibu maskin dah. Sema ndio hvo hamna namna
hahaaaaa sasaivi itakuwa ya jikoni tu anachekecha unga
Huyu ni sakafu tu, alivyoandika ile 'MONDY' 90 percent ni yeye.Teh Teh unaweza kukuta ni ndugu Sakafu ana chezea watu akili.
Umesema nyie mnacheketua tu au sio???
...na hapa umeandika nn, au ulijisahau???
"Kiba ni stress tu" ha ha ha masikiniUmesema nyie mnacheketua tu au sio???
...na hapa umeandika nn, au ulijisahau???
Ivyo Ivyo= hivyo hivyo
apa= hapa
adi= hadi
sitaki kuona kiswahili kinaharibiwa...haya jojoa ulale