Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Umesema nyie mnacheketua tu au sio???
...na hapa umeandika nn, au ulijisahau???
eeeeeee maskini kumbe ni stress mpaka hurumaa yarabiiii,king hawapend mashabiki zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema nyie mnacheketua tu au sio???
...na hapa umeandika nn, au ulijisahau???
Hamna namna, tuwasaidiaje tena.. Tumechoka.
"Kiba ni stress tu" ha ya ha ha ha ha we mwana weweNilijua tuu minafiki itapita mle heheheeeeeeeee pole sana hapa ni K for real asikuambie mtu.
Na ndo maana kila saa mnang'aa sharubu mle kwikwikwiiiii unafiki na umbea utawaua jamani ila sio mbaya kaandike kwenye gazeti coz ndio jadi yenu.
Umesema nyie mnacheketua tu au sio???
...na hapa umeandika nn, au ulijisahau???
Duhhh...! Umeuwaa mwana umeuwaaa... Noma sana..
Nilijua tuu minafiki itapita mle heheheeeeeeeee pole sana hapa ni K for real asikuambie mtu.
Na ndo maana kila saa mnang'aa sharubu mle kwikwikwiiiii unafiki na umbea utawaua jamani ila sio mbaya kaandike kwenye gazeti coz ndio jadi yenu.
Hata Heaven on Earth hajaona, nimeidownload fasta isijeondolewa bureeeeeasanteeeeeeee yaan huruma imeniingiaaa,hivi mwinga Wako Kim nana yupo wapi anapitwa ujuee
Nilijua tuu minafiki itapita mle heheheeeeeeeee pole sana hapa ni K for real asikuambie mtu.
Na ndo maana kila saa mnang'aa sharubu mle kwikwikwiiiii unafiki na umbea utawaua jamani ila sio mbaya kaandike kwenye gazeti coz ndio jadi yenu.
"Kiba ni stress tu" ha ya ha ha ha ha we mwana wewe
hebu Toa mawazo tuwasaidiaje hawa wasijejinyongaa
Yani unatabasamu huku umekalia moto....,na atawapa stress sana kaweke gambe kama ulivosemaKiba ni burudani tuu. Yeye mwenyewe kumtazama tuu ni burudan bado hajatoa zile sauti zake naanzaje kustresika? Naona pampasi niliyokuvalisha ushaikojolea Evelyn Salt sasa fanya kuivua ulale huru.
Hawabebeki hata kwa mbeleko ya chuma....hawa mi naona WAPIGWE TU, HAKUNA NAMNA, MAANA TUMECHOKA SASA.
Yani wewe ni mnafiki mpaka shetani anakukana.
Bora awe mshabiki wa bambo atleast atachekaUshapiga gambe wewe, akili sio yako tena!.....sikushauri kupiga gambe dada angu....ukiona stress znazidi piga chini tu kule......sio kabila lile kwamba huwez hama au kubadili.
Umesema nyie mnacheketua tu au sio???
...na hapa umeandika nn, au ulijisahau???
Aaaagh
Hii kali
bado wewe kuhama teh teh
Yaani bora ata mimi mtoto wa kike wew wa kiume utasemaje? Maana ni mbea adi ata tembea yako ishakuwa ya kidada dada acha niishie hapo .