Kaone vile .... ila poa nitaenda kulipa ada..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unaaga afu huondoki au umefua shuka halijakauka? Utajifunika mikono leo kalaleKaone vile .... ila poa nitaenda kulipa ada..
Mtachonga sana ila team hatuhami ng'ooo.
Unajipa promo tu humu hata hamna anaekujua bana, unaaga unarudi unaaga unarudi umelewa????
Poleni kwa msiba.. Mmejimaliza wenyewe.
ivo= hivo
#shulebilaada
Kwa hasa yeye namuelewa kabisa yuko hivyo.
View attachment 262431
Unaeza kua hujaiona hiyo, kidali pooo kalale nacho
Ha ha ha kishaweka gambe, muongeze kiroba alale asisikie mbu bill kwangu....hahaaa afu mtu akilewa huwa anarudia rudia maneno
Mtachonga sana ila team hatuhami ng'ooo.
Kweli huyo ni mtoto hata mi nimeonaHuo ni utoto!
La ajabu nini hapo?
Stress anapata, na burdani anapata mpaka anakojoa kabisaaa
Ila stress ztawakondesha sana eti, na mtapga gambe sana si eti ???
Habanduki mtu mlee ndo tushawahi siti. Ata wakawange balabarani uchi ni buree
Wewe nawee?Ndio nani labda
Unajipa promo tu humu hata hamna anaekujua bana, unaaga unarudi unaaga unarudi umelewa????
Mtanzania nisiye mnafiki.
Jamani natamani jf ingekuwa inatoa free day kwamba mtu ukifanya kosa lolote hupigwi ban walah kuna watu mngenikoma ila nimewaweka tuu viporo ngojeni kidogo
Nonsensical b**h.., dont push us p'se.
Unamtisha nani.
Mara ya ngapi unaaga alafu huondoki.