Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Kiba itakua alitoa ela advance sasa inabidi akamalizoe video iachiwe sasa pesa hakuna empty show alizopiga US alijua zitalipa kaenda US kapanda first class ndege ful kupiga picha akijua show kule zitamlipa karud kimya kimya bongo naona alipanda 3rd class hahaha
 
Hahahaaaaa niwaambie kitu...umbea na unafiki na undumilakuwili sio mzuri. Nyie hamna tofauti na nyoka kila siku tunacheka ila ni majoka ya kufa mtu. Acheni unafiki midomo ishakuw kama ya kunguru hamtosheki tuu? Na nyie wanaume kuweni na tabia za wanaume jaman umbea na unafki waachieni wakina dada hampendezi bado mna tabia za kivulana.
Bakini na huu wimbo from mr nice
Kikulachooo kumbe ki nguoni mwakooooo..
Rafiki yakoo kume ni adui yako.....
Unakula nae unacheka nae kumbe mwenzako anaona geree eee eeee..
Sina muda wa ku argue na wanafiki nisije nikapata ban bure kwaherinj
 
Unajipa promo tu humu hata hamna anaekujua bana, unaaga unarudi unaaga unarudi umelewa????
 
Sinta poteza muda wangu tena na cute b . Ni zaidi ya mrozi.
Nna mashaka kama hatembei na tunguli.

Sinta ni jina la mtu.
Pamoja na hivyo wew sio level yangu tafuta saizi yako ya kupotezeana muda upo?? Natamani niendeleze kukujibu ila sheria zina bana aya pitaa kushoto. Kapotezee muda wachawi wenzako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom