Hahahaaa na kweli yaani apa pamejaza mambumbumbu nitatoa msaad waende memkwa yaani ni mibichwa mikubwa tuu wamebeba ila akili kisude
Jamaniiiiiiiiii mi namtafuta rafiki angu anaitwa chige yuko wapi jamani isijekuwa kafa. Tusisahau kupiga #WCBforever .
Eti kampuni ya rockstar4000 ya nani?
Wanaiba nyimbo za Diamond kuziuza online, meneja kaitoa insta...najua italetwa humu. Wadau wameshaanza kutiririka huko eti inam maneji nani tena?
tusisahau kupiga kura wandungu,
Vote kwa Chibu
Inatosha kwa leo
Jambazi mbona mie navote zaid ya mara 20 na cjawah kuletewa kama hivyo?! au ukishavote unalog out halaf unalog in tena ndio unavote tena ............ mi navote ikitokea hiyo box kwamba thank you for vote!' nakikancell halafu navote tena au sivyo?!
MTV mama Diamondplatnumz & vanessa
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇
MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015
⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
link hiyoooooooooooo... #wasaaaaaaafi
vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote
kama hivi yaaniiiiiii!!!!!
í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±