Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Mwili kama huu nani hataulilia tena na unazidi kunoga wa kijana wetu Diamond.

Haya kupiga kura pia kwa best live na best collabo ingia humu

http://mama.mtv.com/voting/

1434991362860.jpg
 
Hahahaaa na kweli yaani apa pamejaza mambumbumbu nitatoa msaad waende memkwa yaani ni mibichwa mikubwa tuu wamebeba ila akili kisude

Tutusa mkuu, kama nyoka wewe ni koboko. Kiumbe mwenye roho mbaya hapa duniani, ni hasara kwa taifa letu kuwa na mtu kama wewe. Bora ungezaliwa Bangladesh uzame baharini.
 
Jamaniiiiiiiiii mi namtafuta rafiki angu anaitwa chige yuko wapi jamani isijekuwa kafa. Tusisahau kupiga #WCBforever .
 
Last edited by a moderator:
Eti kampuni ya rockstar4000 ya nani?

Wanaiba nyimbo za Diamond kuziuza online, meneja kaitoa insta...najua italetwa humu. Wadau wameshaanza kutiririka huko eti inam maneji nani tena?
 
Eti kampuni ya rockstar4000 ya nani?

Wanaiba nyimbo za Diamond kuziuza online, meneja kaitoa insta...najua italetwa humu. Wadau wameshaanza kutiririka huko eti inam maneji nani tena?

Ile kampun inaua Vipaji san si ndo wako na Rose Mhndo??
 
Inatosha kwa leo

10403284_456188301217450_9108097579831562989_n.jpg

Jambazi mbona mie navote zaid ya mara 20 na cjawah kuletewa kama hivyo?! au ukishavote unalog out halaf unalog in tena ndio unavote tena ............ mi navote ikitokea hiyo box kwamba thank you for vote!' nakikancell halafu navote tena au sivyo?!
 
Mkuu we endelea kuvote tu, ukiambiwa thank you for vote inamaana kurayako ishahesabiwa, so we endelea kuvote tu hata Mara 1000 kwa siku sio mbaya, mi mwenyewe hawanilimit ninavote tu nnavyotaka
 
Last edited by a moderator:
MTV mama Diamondplatnumz & vanessa

⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇

MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015

⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
link hiyoooooooooooo... #wasaaaaaaafi

vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote
 
MTV mama Diamondplatnumz & vanessa

⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇

MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015

⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
link hiyoooooooooooo... #wasaaaaaaafi

vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote

kama hivi yaaniiiiiii!!!!!
 
MTV mama Diamondplatnumz & vanessa
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇
MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015
⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
link hiyoooooooooooo... #wasaaaaaaafi
vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote
 
Back
Top Bottom