Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Kama anaiona hii reply, please unakaribishwa mkuu humu hatuna majungu wala vijembe ni burudani tu..

Ana karibishwa sana ila ajue huku hakuna mbwembwe za kishamba mara kutengeneza tsht mara sijui nini,huku ni action tu....na ngoma ndio hiyo iko jikoni yaja.
 
Ana karibishwa sana ila ajue huku hakuna mbwembwe za kishamba mara kutengeneza tsht mara sijui nini,huku ni action tu....na ngoma ndio hiyo iko jikoni yaja.

Vile vile huku ni mwiko kushoot kichupa tz wala kenya hapa ni mwendo wa Clarence peters,God Father,Mr Moe Mussa hadi kwa Benny Boom ikiwezekana..wataelewa tu hahaha.
 
Vile vile huku ni mwiko kushoot kichupa tz wala kenya hapa ni mwendo wa Clarence peters,God Father,Mr Moe Mussa hadi kwa Benny Boom ikiwezekana..wataelewa tu hahaha.

Ha ha ha kibongo bongo location zimeisha maana hata watoto wadogo nao wana shoot location zile zile....tumwache "mwana daresalama" ajimwage na location za kibongo.
 
Vile vile huku ni mwiko kushoot kichupa tz wala kenya hapa ni mwendo wa Clarence peters,God Father,Mr Moe Mussa hadi kwa Benny Boom ikiwezekana..wataelewa tu hahaha.

Hahaaaaah
 
Eshy ni bora afanye suprise maana akitutajia tu siku ya uzinduzi basi msanii mwengine anaweza akatoa video tarehe hiyo hiyo ikawa utata..
Ushansoma eeh?

Ooh na iwe suprise ila isichelewe lol nna mchecheto hatari
 
naskia mtaa wa pili video ya mwana tayari kitambo wanasubiri lift ya platnumz kuubeba
 
maskiniii mbona humu ndani team kiba wooote wmekimbia???? daah!! hadi huruma yaani, siwaoni popote, njooni bwana, msijiskie vibaya hivyo hata kiba atatoboa tuu cha msingi ajipange tu asilazimishe kuitwa king
 
Msanii anayedhani kaibiwa huu wimbo mpya ni bora akajitokeza mapemaaa maana utakua ni wimbo wa dunia sio wa taifa hahaha!

Wazushi tu wapinga maendeleo wenye chuki na wivu ndo wanajishauaga wameibiwa...
 
maskiniii mbona humu ndani team kiba wooote wmekimbia???? daah!! hadi huruma yaani, siwaoni popote, njooni bwana, msijiskie vibaya hivyo hata kiba atatoboa tuu cha msingi ajipange tu asilazimishe kuitwa king

Hatuwataki wavaa moka huku walalw mbele yule mwingine nasikia kala bannn
 
Diamond toa hiyo mashineeee basi tukate mzizi wa fitina jamaaa huwa hatuangushiiiioi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…