Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond yupo level za juu sana !
Tungekuwa na akili tungempa moyo wa kufunika Afrika nzima, badala yake tunaungana na wajinga wa Clouds wanaotaka kumpotezea, wamechemsha.

ume ongea bonge la point mkuu,kwani p square sijui dbanji hao wote wana nini cha kumshinda diamond bwana sema wa nigeria wana wapa sapoti sana wasanii wao ndio maana wana vuka boda.ila huku kwetu kuna chuki za kilofa tena mijtu imeanzisha bifu za kijinga eti kisa mvaa moka kapotea kwenye ramani ya muziki ha ha ha kumbe walitakiwa wampe kampani mtu wao arudi kwenye game kuliko kujenga chuki bila sababu kwa diamond....
 
Ndo hapo asee mi sitaki kumtaja nimpe publicity
 
we lala ukisinziaaa....ukisinzia oooh....we lala ukisinzia sinziaaaa

heloooo....... helooooo dariii.....hapo vipi una niskiaa

nina maneno ya kukuambiaaaa

najua yanasemwa mengi mtaaniiiii

kutoka kwa mashoga na jiraniiiii

yana semwa mengii mengiii yalo jawa na ubayaaaa

mara natoka na fulaniiii

tena ana kuja mpaka ndaniiii

yani maneno mengiii mengiiii

wabayaaaaaa.......................

DAAAH MAZEEE HUYU DOGO ANA JUA JAMANI.

Kwenye uandishi ndo ameshindikana kabisa
 
Back
Top Bottom