Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

duh nimetazama hio video....ali kiba ana kitu cha kujifunza kutoka kwa diamond. akae chini na menejimenti yake waangalie watoke vipi! kwanini wanamuziki wa nje,hasa nigeria wanataka kutoa video na diamond tu? kuna kitu sio bure!

ila kutoka tandale hadi kufanya video za kiwango hiki ni safari ndefu ya kimafanikio...big up diamond uendelee zaidi na zaidi
Mungu akuongezee.
 

Maneno ya busara haya mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…