Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

maskiniii mbona humu ndani team kiba wooote wmekimbia???? daah!! hadi huruma yaani, siwaoni popote, njooni bwana, msijiskie vibaya hivyo hata kiba atatoboa tuu cha msingi ajipange tu asilazimishe kuitwa king

achana nao watatuletea uchafu humu, wasafi sieeee
 
Mm kama no 1 fan wake namshauri yafuatayo.

1.kuanza kuimba live maana anaweza
2.kiafrika kashatoboza sahivi akljikite kimataifa....kama ambavyo iyanya ameweka dau kubwa mradi afanye kollabo na minaj nae akomae na ile project ya shaka Zulu na kina trey songs
3.ajaribu kumsamehe na kumsaidia baba ake.no matter ubaya aloufanya yule baba,he's still his father.....aanze kuchuma na Baraka za baba maana za mama zinafurika.
3.atafte mwanamke wa kuoa.


...............ntaendelea
 

Big up?wewe
 
Nilichopenda huku hakuna lawama...kitu ambacho kule mtaa wa pili ni nadra sana, sio insta sio kokote yani hawawezi kuongea bila kumuhusisha dai, big up kwa platnumzzzz

wasomi na watu tunaojielewa always hupenda vitu visomi na vinavyoeleweka, ndio maana tumejikuta woooote team mondi tumetulia, hatuna peche peche, tunasifia kitu na ukikitathmini kweli kinafaa kusifiwa.
 
cjawah kuona video mbaya kutoka kwa diamond tangu aanze mzk

ujue diamond amebahatika kusimamiwa na management nzuri tangu anaanza game hadi sasa..kupoteza milioni kwa ajili ya video kwake si kitu..
 
kwani kuna mtu anabisha bado kuhusu ukali wa Diamond??

Diamond ameshatoka level za usanii wa bongo fleva kwa sasa Dai ni bland.

East Africa nzima hakunaga, nilikuwa Kenya juzi kati nilishangaa Sauti sol wanamzungumzia Dai kama mfano mzuri kwao.
 

Diamond yupo level za juu sana !
Tungekuwa na akili tungempa moyo wa kufunika Afrika nzima, badala yake tunaungana na wajinga wa Clouds wanaotaka kumpotezea, wamechemsha.
 
we lala ukisinziaaa....ukisinzia oooh....we lala ukisinzia sinziaaaa

heloooo....... helooooo dariii.....hapo vipi una niskiaa

nina maneno ya kukuambiaaaa

najua yanasemwa mengi mtaaniiiii

kutoka kwa mashoga na jiraniiiii

yana semwa mengii mengiii yalo jawa na ubayaaaa

mara natoka na fulaniiii

tena ana kuja mpaka ndaniiii

yani maneno mengiii mengiiii

wabayaaaaaa.......................

DAAAH MAZEEE HUYU DOGO ANA JUA JAMANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…