BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Yaani ukifikia hiyo hali basi mimi naomba usiniquote wala kunitagg na sitokuquote,mention wala kukutagg kabisaaaaa!!maana kama kuna siku nimekereka leo basi ni unafiki wa data
Wakuu collabo jingine lini.
Bora umelitoa khaaaa tunashindwa hata kukumendea huko pm kisa hilo libabu lakoHaha ntachange vp never" i mean nimechange avatar binti kiziwi anasema namtisha na ile ya babu
Afu ni muda sasa,mmmh hadi tunakosa ma link ya kuvoteSijui hata ilikuwaje!nimeshangaa tu kukuta ban
Bora umelitoa khaaaa tunashindwa hata kukumendea huko pm kisa hilo libabu lako
Afu ni muda sasa,mmmh hadi tunakosa ma link ya kuvote
Sasa je, kila nikidraft muneno mutamu nkiliona lile babu nafuta ha ha haHahahaha duh kumbe nilikua najikosesha bahati e. Duh noma
Sasa je, kila nikidraft muneno mutamu nkiliona lile babu nafuta ha ha ha
Hahahaha usinifanye nicheke 😀 sema lile babu sura kama kakanyagwa na treni hatari hop now to c ur lovly text on ma dm ase 😀😀😀😀
Naachaje labda kumshabikia mtu kama huyu???!
Hahaha nani anapenda stress¿¿" ndio mana nasemaga huyu jamaa kila cku new news yani hatari. huo mkutano kajaza yeye sio mbunge'
tusisahau kuvote mtv wandugu.
Nikuvote tu tena kwa email yani navote unlimited
Ahahahahahahaa!!au kuna siku mwenzangu ulitimba kule kwenye uzi wa dini?nimecheka sana ila pole na nilikua sijui ujue??mzurimie mwenzangu ana wiki inaenda kwisha ya pili sasa mi sijamuona,sasa leo nimezungukia kwa profile yake kule ndio nikaona yuko Ban!
Karibu mumy nilikumiss
hhhhhaaa Uzi gani huo mi siukumbukii ati itakua Uzi WA zamaniii,,jaman mzurimie mbona hatukanagii loo