Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

angalia vizur kampa sapoti dangote mbona

Jamaa AY na FA na team yao pamoja na baadhi ya team cloud wamekuwa na roho mbaya na diamond kupitiliza nahisi AY anajiuliza mbona mm nilitumia hela nyingi na haikusikika, ??huyu dogo inatiki yes at beginning alionesha kuseidia tena kwa kulipwa kama promota na yeye pia alipata commission kwa #godfather kama ni agent wa east Africa mkono mtupu haulambwi
 
Kwi kwi kwi kwi kwi ona Nana nana sankoro sankoro sankoro taii kama Ronaldo.

Teteteteh nyimbo nyingine vichekesho vitupu sema waganga wa Bab tale wanasaidia kuboost huyu jamaa.
 
Diamond N Manecky wamaliza bifu Lao
 

Attachments

  • 1436342454478.jpg
    1436342454478.jpg
    32.3 KB · Views: 124
Back
Top Bottom