mzalendo01
Member
- Jun 25, 2015
- 53
- 36
angalia vizur kampa sapoti dangote mbona
Jamaa AY na FA na team yao pamoja na baadhi ya team cloud wamekuwa na roho mbaya na diamond kupitiliza nahisi AY anajiuliza mbona mm nilitumia hela nyingi na haikusikika, ??huyu dogo inatiki yes at beginning alionesha kuseidia tena kwa kulipwa kama promota na yeye pia alipata commission kwa #godfather kama ni agent wa east Africa mkono mtupu haulambwi