Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Wakuu collabo jingine lini.

Mbona kama unafki vile? Anyway ratiba yetu iko hiv mana c tunazingatia sana ratiba. From Salaam D manager aka Mr Connection .. huyu atakama unataka kufanya collabo na obama anakuunganishia.
 

Attachments

  • 1436353173980.jpg
    1436353173980.jpg
    25.7 KB · Views: 136
Ahahahahahahaa!!au kuna siku mwenzangu ulitimba kule kwenye uzi wa dini?nimecheka sana ila pole na nilikua sijui ujue??mzurimie mwenzangu ana wiki inaenda kwisha ya pili sasa mi sijamuona,sasa leo nimezungukia kwa profile yake kule ndio nikaona yuko Ban!

Karibu mumy nilikumiss

hhhhhaaa Uzi gani huo mi siukumbukii ati itakua Uzi WA zamaniii,,jaman mzurimie mbona hatukanagii loo
 
Vote vote tevo vote vote I new tutachukua tena as we did last year MTV mama
 
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
Long live the KING KIBA 👑👑
 
Back
Top Bottom