Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Duuuh!
...cjui sasa, na hiv nasikia alifukuzwa kune nyumba alokuwa anaishi, itakuwaje sasa MadamπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

ahahaahahahaaa!!hapa mkuu itabidi tuunde tume ya majanga na maafa kwa kweli,maana shida kama hizi zinapotokea inabidi watu tuchangiane michango!!
 
Tupe tupe tupe hayo mashairi maana hali ni mbaya kwa watani wetu wa jadi.

Shairi ni hili hapa .


Kuna yule ajuae, na ajua yuajua.
Tatizo mpelekee,lolote atatatua.
Yuajua mwenyewe, kwamba yeye yuajua.
Kuwa karibu na yeye, elimuye kuchukua.

Mwingine ni ajuae, na hajui yuajua.
Elimu I tele nae, hana asichokijua.
Ela aonavyo yeye, yu juha wa kurembewa.
Huyu na ashituliwe, hadhi yake kuijua.

Na kuna asiyejua, na ajijua hajui.
Mambongwa huyakimbia, watani yeye hakai.
Adhara aichelea, kujatolewa nishai.
Huyu si kuzomewa, ni wa kufunzwa kwa rai.

Wa nne asiojua, na hajijui hajui.
Akiitwa kuhutubia, himahima hakatai.
Maringo kujisifia, yu kajifanya nabii.
Huyu ni kushushuliwa, yukaambiwa hajui.

Wakwanza ni ajue, akajua yuajua.
Wapili ni ajuae, na asiojua ajua.
Watatu ni asiojua, akajijua hajui.
Wqnne ni asiojua, yu asiojua hajui.


Hahahah kwa Leo jamani.
 
Duuuh!
...cjui sasa, na hiv nasikia alifukuzwa kune nyumba alokuwa anaishi, itakuwaje sasa MadamπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ahamie bushi tu akalinde tembo vizuri😁😁😁
 

ahaahahahahahahaaaaaa!!umetisha mkuuu big up nyingi kwako!!natamani mtani wangu cute b angekua uraiani nikamuita aje asome haya mashairi!! Freeland Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
Masikini hurumaa, angeifanyia ilala tu ka nuhu mziwanda, na chenji nyingi tu ingebaki, kajitia kuipeleka south na show zimegoma teh

Kwan wale ma'ex wa mr presdaa....hawajampgia promo km kne ktma.
 
ahahaahahahaaa!!hapa mkuu itabidi tuunde tume ya majanga na maafa kwa kweli,maana shida kama hizi zinapotokea inabidi watu tuchangiane michango!!

Kweli kabisa aisee...

Wazo zuri:thumbup:
 
Ila kale kajamaa kana dharau eti (nanukuu) ''ujue kitu kizur kikikosekana hata kibovu huwa kinapendwa''

Kuanzia hapo nlimshusha vyeo vyote!
Mxieuuuuuuu
Yaani kauli ilinikera hii mimi!Kwamba yeye ndie bora sana au?!haya sasa yeye mwenyewe amejionea,kizuri kimerudi na bado watu wanaendelea kukipenda kibaya tena kwa nguvu zoteee!!yeye akae na kizuri chake
 
Yaani kauli ilinikera hii mimi!Kwamba yeye ndie bora sana au?!haya sasa yeye mwenyewe amejionea,kizuri kimerudi na bado watu wanaendelea kukipenda kibaya tena kwa nguvu zoteee!!yeye akae na kizuri chake

Ile dharau sana asee....mtt wa kiume haongei vile.....halafu kpnd anaongea ile kauli alikuwa na tuzo moja ya kilimanjaro kabatin, asa cjui kizur gan hcho kilichomnyima hata tuzo za ktma!

Ngoja mashabik ake maandaz waendelee kumpoteza....sie tunaenda kupia show south wiki ijayo na tuzo ya Best live hiyo ipo kwa ajil etu labda zngine ndo tutagombea!
 

Hahahaaaaaah tisha sana
 
Halafu wakuu kuna member mwenzetu....team no stress huyu Evelyn Salt birthday yake leo.....nlipita kule chitchat nkakuta uz unamhusu....na simuon sana hapa leo sijui ndo anaandaa keki ama vip..

Tumuwish happy born day jaman Evelyn Salt

Jamani namie birthday yangu ilikuwa Jana,, Happy birthday Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…