Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,560
Duuh!
...afu nasikia haijafika 400k viewers
Masikini hurumaa, angeifanyia ilala tu ka nuhu mziwanda, na chenji nyingi tu ingebaki, kajitia kuipeleka south na show zimegoma teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh!
...afu nasikia haijafika 400k viewers
Aisee yaani kwa makadirio ya chini tu basi ni 32
Duuuh!
...cjui sasa, na hiv nasikia alifukuzwa kune nyumba alokuwa anaishi, itakuwaje sasa Madam😀😀😀
Tupe tupe tupe hayo mashairi maana hali ni mbaya kwa watani wetu wa jadi.
Duuuh!
...cjui sasa, na hiv nasikia alifukuzwa kune nyumba alokuwa anaishi, itakuwaje sasa Madam😀😀😀
Ameshachelewa tayari!wacha tu aendelee kujikongoja hivyohivyo.
Shairi ni hili hapa .
Kuna yule ajuae, na ajua yuajua.
Tatizo mpelekee,lolote atatatua.
Yuajua mwenyewe, kwamba yeye yuajua.
Kuwa karibu na yeye, elimuye kuchukua.
Mwingine ni ajuae, na hajui yuajua.
Elimu I tele nae, hana asichokijua.
Ela aonavyo yeye, yu juha wa kurembewa.
Huyu na ashituliwe, hadhi yake kuijua.
Na kuna asiyejua, na ajijua hajui.
Mambongwa huyakimbia, watani yeye hakai.
Adhara aichelea, kujatolewa nishai.
Huyu si kuzomewa, ni wa kufunzwa kwa rai.
Wa nne asiojua, na hajijui hajui.
Akiitwa kuhutubia, himahima hakatai.
Maringo kujisifia, yu kajifanya nabii.
Huyu ni kushushuliwa, yukaambiwa hajui.
Wakwanza ni ajue, akajua yuajua.
Wapili ni ajuae, na asiojua ajua.
Watatu ni asiojua, akajijua hajui.
Wqnne ni asiojua, yu asiojua hajui.
Hahahah kwa Leo jamani.
Masikini hurumaa, angeifanyia ilala tu ka nuhu mziwanda, na chenji nyingi tu ingebaki, kajitia kuipeleka south na show zimegoma teh
Ahamie bushi tu akalinde tembo vizuri😁😁😁
ahahaahahahaaa!!hapa mkuu itabidi tuunde tume ya majanga na maafa kwa kweli,maana shida kama hizi zinapotokea inabidi watu tuchangiane michango!!
Yaani kauli ilinikera hii mimi!Kwamba yeye ndie bora sana au?!haya sasa yeye mwenyewe amejionea,kizuri kimerudi na bado watu wanaendelea kukipenda kibaya tena kwa nguvu zoteee!!yeye akae na kizuri chakeIla kale kajamaa kana dharau eti (nanukuu) ''ujue kitu kizur kikikosekana hata kibovu huwa kinapendwa''
Kuanzia hapo nlimshusha vyeo vyote!
Mxieuuuuuuu
Yaani kauli ilinikera hii mimi!Kwamba yeye ndie bora sana au?!haya sasa yeye mwenyewe amejionea,kizuri kimerudi na bado watu wanaendelea kukipenda kibaya tena kwa nguvu zoteee!!yeye akae na kizuri chake
Halafu wakuu kuna member mwenzetu....team no stress huyu Evelyn Salt birthday yake leo.....nlipita kule chitchat nkakuta uz unamhusu....na simuon sana hapa leo sijui ndo anaandaa keki ama vip..
Tumuwish happy born day jaman Evelyn Salt
Shairi ni hili hapa .
Kuna yule ajuae, na ajua yuajua.
Tatizo mpelekee,lolote atatatua.
Yuajua mwenyewe, kwamba yeye yuajua.
Kuwa karibu na yeye, elimuye kuchukua.
Mwingine ni ajuae, na hajui yuajua.
Elimu I tele nae, hana asichokijua.
Ela aonavyo yeye, yu juha wa kurembewa.
Huyu na ashituliwe, hadhi yake kuijua.
Na kuna asiyejua, na ajijua hajui.
Mambongwa huyakimbia, watani yeye hakai.
Adhara aichelea, kujatolewa nishai.
Huyu si kuzomewa, ni wa kufunzwa kwa rai.
Wa nne asiojua, na hajijui hajui.
Akiitwa kuhutubia, himahima hakatai.
Maringo kujisifia, yu kajifanya nabii.
Huyu ni kushushuliwa, yukaambiwa hajui.
Wakwanza ni ajue, akajua yuajua.
Wapili ni ajuae, na asiojua ajua.
Watatu ni asiojua, akajijua hajui.
Wqnne ni asiojua, yu asiojua hajui.
Hahahah kwa Leo jamani.
Kwan wale ma'ex wa mr presdaa....hawajampgia promo km kne ktma.
Halafu wakuu kuna member mwenzetu....team no stress huyu Evelyn Salt birthday yake leo.....nlipita kule chitchat nkakuta uz unamhusu....na simuon sana hapa leo sijui ndo anaandaa keki ama vip..
Tumuwish happy born day jaman Evelyn Salt
Wenyewe wananjaa tu
Jamani namie birthday yangu ilikuwa Jana,, Happy birthday Evelyn Salt