Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond yupo level za juu sana !
Tungekuwa na akili tungempa moyo wa kufunika Afrika nzima, badala yake tunaungana na wajinga wa Clouds wanaotaka kumpotezea, wamechemsha.

ume ongea bonge la point mkuu,kwani p square sijui dbanji hao wote wana nini cha kumshinda diamond bwana sema wa nigeria wana wapa sapoti sana wasanii wao ndio maana wana vuka boda.ila huku kwetu kuna chuki za kilofa tena mijtu imeanzisha bifu za kijinga eti kisa mvaa moka kapotea kwenye ramani ya muziki ha ha ha kumbe walitakiwa wampe kampani mtu wao arudi kwenye game kuliko kujenga chuki bila sababu kwa diamond....
 
Ndo hapo asee mi sitaki kumtaja nimpe publicity
 

Kwenye uandishi ndo ameshindikana kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…