Namie hata sijui kuscreenshot kwa iPad
dogo kamtumia dai msg "hi diamond it's your step son didi"
diamond akajibu "hey what's good my didi?are u still awake? How is SA? See you soon am coming for the mtv award"
#hapaumbeatu
a
Mi pia leo sjaingia insta nkajua labda smu imezngua
mtoto kamkubali step papaa teh nani wa kupingaHeheheee mbona umbeya heavy hivyo! Nimeukosaje jamani naweza kuzimia! Ivan ata mind!
Haya kachek kwa who is thee bossahahaa sikuwezi mdada looh!!nimefurahi sasa hivi nimekubali kuingia baada ya kulalamika sana
Yaani sijui tatizo ni nini!nimefanikiwa kuingia kwa Facebook account sasa hivi ila kwa E-mail address imekataa,nahisi ni netwokrk error
Hivi tuzo saa ngapi?
nimejaribu now hata mi inasumbua mara log in with Facebook mara nini! Naona leo kutakuwa na tatizo
Jaribu ku-log out halafu network iwe manual then log-in tena labda itakubali
Kuna tatizo leo la Instagram kwa baadhi ya watu nimeona twitter watu wakilalamika. network manual ndo inakuaje hyo Kimbley haha umenifurahisha 😀
ahahaa BB usinicheke bathii!!nilikua namaanisha afanye setting kwenye network iwe manual na sio automatic
Haha naona kama await to itakubali asivuruge setting zake.
Basi mwenzio kidogo niloeke miguu kwenye beseni la maji ili nikeshe makubwaahahaha tuzo mpaka jumamosi ndio zinatolewa
Basi mwenzio kidogo niloeke miguu kwenye beseni la maji ili nikeshe makubwa
nkajua jana ndo tuzo
Haya ahsante hivi itarushwa Chanel zipi jamani ili namie na hii antena ya chadema nione:teeth:Ahahahahaaa!!ila una vituko ujue?ahaaha!!kesho mama ndio kindumbwendumbwe!!
Haya ahsante hivi itarushwa Chanel zipi jamani ili namie na hii antena ya chadema nione:teeth:
itakuwa live bet africa na mtv base
Nitajiju mie na hiki kiantena kinachopiga shoti, kinashika star tv, tbc na itv tu:teeth:Awwww, can't wait. Ntaingalia Mtv base maana BET Africa sidhani kama ninayo.
Nitajiju mie na hiki kiantena kinachopiga shoti, kinashika star tv, tbc na itv tu:teeth:
Mwenyewe sahivi nshakua kama tena wa diamond ha ha kakiwekwa ka link kake nshaenda kama ni kura naanza na nshaenda you tube kujisubscribe huu uteja sasa