African NAFCA vote here the good thing is deadline ni July 31 and hadi Sasa anaongoza on both categories. Tanzania let's vote for this one.
Hivi ukiambiwa Thank you, we have alreadykwenye kupiga kura afrimma awards
ukisha bonyeza vote ukapata ujumbe wa kukushukuru,
chini yake bonyeza RETURN TO POLL kuendelea kupiga kura hadi uambiwe basi. kisha nenda kwenye kipengele kingine fanya hivyo tu bila kuchoka wote tupo pamoja kufurahia tuzo hizi zikija tusherekee vizuri kwa furaha kubwa mioyoni mwetu.
kumbuka uki vote na kuvote hamia kipengele kingine, ususahau kurudia kupiga tena kura baada ya muda vipengele vyote tena.
duuuh!
Ni kweli mkuu?
Kazi kwetu..
Kwao manenoo....
Nliona uzi unasema kashinda tuzo ni kweli?
Ni kweli
sio kweli mkuu,bado tuzo hazijatolewa
Ni kweli
Hii Kama nimesikia diamond katangazwa kuwa ni mshindi wa category zote mbili