Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Jamani wekeni link za kuvote hapo kwenye post, maana naona bado IPO link ya MTV tu
 
kwenye kupiga kura afrimma awards

ukisha bonyeza vote ukapata ujumbe wa kukushukuru,

chini yake bonyeza RETURN TO POLL kuendelea kupiga kura hadi uambiwe basi. kisha nenda kwenye kipengele kingine fanya hivyo tu bila kuchoka wote tupo pamoja kufurahia tuzo hizi zikija tusherekee vizuri kwa furaha kubwa mioyoni mwetu.

kumbuka uki vote na kuvote hamia kipengele kingine, ususahau kurudia kupiga tena kura baada ya muda vipengele vyote tena.
Hivi ukiambiwa Thank you, we have already
counted your vote. Si inamaana walishahesabu kura yako hiyo haihesabiki tena?
 
Ni kweli
 

Attachments

  • 1438503840286.jpg
    1438503840286.jpg
    55.2 KB · Views: 451
Back
Top Bottom