Sure nigga Mondi ameshatangazwa mshindi on both categories.
Sure nigga Mondi ameshatangazwa mshindi on both categories.
Hakuna ukweli wa hizo taarifa jamani
Ukweli huo hajadanganya
Ile clip ya zamani saana mkuu
Kwanini imeanza kusambaa jana?
Hivi ukiambiwa Thank you, we have already
counted your vote. Si inamaana walishahesabu kura yako hiyo haihesabiki tena?