Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Chibu yani we mshindi kila siku mweh hadi tunaona tuzo kitu cha kawaida sa tutashangilia nini tena?
 
Hivi ukiambiwa Thank you, we have already
counted your vote. Si inamaana walishahesabu kura yako hiyo haihesabiki tena?

na ukibonyeza return to poll na kupiga kura tena inakupa huo ujumbe kila unapo vote.kwa hiyo zinahesabiwa zote.
 
https://www.surveymonkey.com/s/voteaea2015

Diamond Platnumz amekuwa nominated kuwania tuzo za
African Entertainments Awards .com (AEA-USA)

Vipengele vya

1. Best male artist of the year

2. Hottest male single of the year


Kura zenu zinahitajika fungua link hiyo juu kupiga kura

(usijali kama haupigii kura wengine wewe bonyeza next halafu next halafu utakutana na kidude "finalize vote" bonyeza kura zako zihesabiwe.

au tembelea website yao ambayo utabonyeza kidude cha vote now kupelekwa katika website hiyo juu
 

Attachments

  • aeausa.png
    aeausa.png
    54.3 KB · Views: 81
Pia katika awards hizo hizo kuna kuchagua nani utapenda kuona anatumbuiza LIVE na mwingine ku hosti siku hiyo Diamond Platnumz yumo katika listi ya kuchagua wa kutumbuiza.

ingia link hii https://www.surveymonkey.com/s/AEAUSA2015GUEST kuna vipengele viwili tu moja ya kutumbuiza LIVE kwenye steji huko USA ndio Diamond yumo, mchague halafu bonyeza VOTE
usikosee unayemchagua.

kama awards za hapo juu kuna ushindani mkubwa, wa congo nao wameamka sana siku hizi tunajua pia West Africa na South Africa wakiamua ni hawajambo na nchi zao zina wananchi wengi wanaoingia mitandaoni kutuzidi sie.
 
Hii sasa sifa na leo tena,tuzo yeye shoo yeye mkwanja wa maana yeye jamani kwani yule mlinzi wa mbuga zetu hawamuoni?????????? ( ndo mana sisi tunamchukia )
 
Tuzo nyingine buanaaa....
Haiyaaa hongera zake.Ila Nigeria ni nchi inayoongoza kwa kutoa awards.kama vile ilivo na vyuo vingi pia.
 
Back
Top Bottom