unamchukiaje mtu humjui hakujui???????????(na kama mtu humpendi pita kimya ) kisa tu eti kuna malaya fulani wako instagram basi wamenipandikizia chuki nami nafuata, kama alikuwa hafai mbaya si handsome mbona kamvulia nguo???????na alikuwa anamuita bebi na kwanini iwe sasa si kipindi kile kabla hawajaachana????? na huo mdomo anaouita "domo" alikuwa anaupa ulimi wake leo hii wameachana unapandikizwa chuki na wewe kama zuzu unafuata.