Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Baba mmoja ila mama tofautii lakini queen na Ali kiba pia ni mabinamu na hii niliisikia katika mahojiano ya miaka ile ambayo queen na Ali walikuwa wakiiva sana...sasa napata kigugumizi kusema kuwa diamond na Ali ni ndugu

Na esma mke wa petit?

mama mmoja baba mbali mbali

Labda queen na Ali ni mabinamu kwa mama yake queen so undugu wa dai na Ali haupo hapo

na halima kimwana?

Dada yake wa kupanga/hiyari...sina uhakika saana na hili jibu thou nilisomaga kwenye gazeti flani ivi la udaku.

Darlin na Dai nasikia wamechangia baba but mama tofauti. Kinachonishangaza ni huyo baba Dai huwa anamlaumu tu diamond amemtelekeza mbona queen darlin huwa hamuongelei?

Diamond na queen wameshare baba
Diamond na esma wameshare mama

Kama ni mapishi basi hii ni biriani,na pilipili kichaa pembeni
 
Aisee... Sawa.
 
Kura za tuzo za Afrima
bado zinaendelea kupigwa msisahau wadau
 
Darlin na Dai nasikia wamechangia baba but mama tofauti. Kinachonishangaza ni huyo baba Dai huwa anamlaumu tu diamond amemtelekeza mbona queen darlin huwa hamuongelei?

ebooo kama ajamtelekeza atamlaumu vipi?!
 
Ndugu zangu sielewi kabisa, huyu jamaa Nasib mzee wa kick na skendo watu wamempuuza sana, anatumia gharama nyingi kutengeneza video kali lakini watanzania wanaishia kuipongeza video na sio nyimbo tena.

sasa hivi jamaa anachojivunia ni video kali na kukata mauno tu kwenye waimbaji bora hayupo kabisa, ukisikia kama ni tuzo yeye atabeba tu kipengele cha video bora ambapo kimsingi ni juhudi za director, pia utasikia kabeba tuzo ya mnenguaji bora ambapo kimsingi hata twanga pepeta hata wao wakikomaa watachukua.

Jamaa nyimbo zake zinaingia top 10 kwny tv na station zile zile tu huko nje kwa wachumia tumbo lakin huwezi kusikia hata siku 1 akishika chat hapa bongo kwanini?

Skendo sasa hamna hata kick ya kudandia hana tena, vya kupost hana maana kama ni kick ya tiffah basi kashazaliwa, kama ni wema basi mwenzake kashapata mtu wake.

Kijana hajui kick gan atokee, anajarbu kumchokonoa mfalme kiba, ila ndo hivyo kashazibwa mdomo na #Nagharamia sasa kabakia tu kupanick insta ooh i swear sijui nikifa hahahaha

Watanzania kwanini mmempuuza Nasib?
 
Kuna umuhim wa kujua jisia kabla ya kujibu swali lako :-(
 
Yani hapo mwisho umeharib kabisaaa....bora ungesema AIYOLA ningekuona wa maana...
 
Sasa hii ndio news alert hii? Kweli sasa hivi vijana wengi wa kibongo wanakaa nyagwa.
 
We nina wasiwasi ni kiba maana unavomuandama diamond
 
Umaarufu umeshuka au unaongezeka?kuna interview inafanyika ya msanii anahojiwa bila diamond kutajwa yaan wote wanamkubal...halali k.jana wa watu wewe unawashwa tu shenzy kabisa... Chek kila kitu wanamuiga c kuvaa c kwenda kushuti south et kafungwa mdomo na nagharimia? Wew cjui uko wapi..nagharamia ndo nan?ndo mikono ya platnum?...mtanyooka tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…