UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,673
- 12,265
Baba mmoja ila mama tofautii lakini queen na Ali kiba pia ni mabinamu na hii niliisikia katika mahojiano ya miaka ile ambayo queen na Ali walikuwa wakiiva sana...sasa napata kigugumizi kusema kuwa diamond na Ali ni ndugu
Na esma mke wa petit?
mama mmoja baba mbali mbali
Labda queen na Ali ni mabinamu kwa mama yake queen so undugu wa dai na Ali haupo hapo
na halima kimwana?
Dada yake wa kupanga/hiyari...sina uhakika saana na hili jibu thou nilisomaga kwenye gazeti flani ivi la udaku.
Darlin na Dai nasikia wamechangia baba but mama tofauti. Kinachonishangaza ni huyo baba Dai huwa anamlaumu tu diamond amemtelekeza mbona queen darlin huwa hamuongelei?
Diamond na queen wameshare baba
Diamond na esma wameshare mama
Kama ni mapishi basi hii ni biriani,na pilipili kichaa pembeni