Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Umaarufu wa nn wakati mwenzio amewekeza miradi mbalimbali kila siku anapata pesa
 
Naona mapovu yanawatoka tu, su irien tu video kali lakini mziki mzuri haupo pale hahahaha
 

We jamaa inaonyesha kwenu wamezaliwa wanawake watupu ila mwanaume uko ww pekee yako,sasa kwa bahati mbaya umejikuta kuadapt tabia za Dada zako.
 
#Nagharamia# ni nyimbo ambayo wasanii wawili wanashindana kupandandisha sauti haiwezi kumtisha diamond hata kidogo

nagharamia ni wimbo mpya?nifahamisheni tafadhari huku kwetu tunajua nana tu na jina la msanii tunalolifaham ni diamond pltnmz
 
Wanachonishangaza mashabiki wa Kiba wa JF ni kimoja tu!! Hapa kuna mashabiki wa kike na wa kiume wa Kiba! Lakini posts zinazoandikwa na mashabiki wa kiume wa Kiba ungetarajiwa zingekuwa zinaandikiwa na wale wa jinsia nyingine lakini ni tofauti! Seriously, sio ushabiki wala kunogesha genge; hili jambo mara kwa mara nimekuwa nikijiuliza lakini sijapata jibu! Hivi hamna mwanasosholojia humu?
 
Bora ungeleta mada ya kuboresha timu ya Taifa Diamond mwenzio wazungu wanamjua lkn ww hata nyumba ya nne hwakujui, Roho mbaya hiyo Brother duuuuhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wema Sepetu unambwembwe kila siku unatubadilishia namna ya kumlilia DIAMOND.
 
Tehe tehe tehe, hasira za kushindwa mamvi zinamwangukia Almasi. Mtoa mada akitendwa na boy friend wake anaondoa stress kwa kutumia jina la Mond. Dada Shad mzima?
 
kama kushinda mtumbuizaj bora ni rahisi bac kna crstian bela fallypupa na bob junior wangeshinda kila mwaka maana wao wanakata mauno kisawasawa.hata hvyo mbona wasanii weng wanakata tu mauno hata kiba au hujawah kumwona?kama hujamwona tafuta video ya dushelele umwangalie japo cku hz mauno yameongezeka kama pangaboi
 
#nagharamia imewazima mdomo hadi mashabiki....
Kiba mbayaaaaaaa sasa mond nae mwanamuziki au mnenguajiii bwahahahahaaaaaaaaaaaa...
Kunywa biaaaa # nagharamia mie.
Pasukeni kama vipi
 

Tumempuuza sababu ni mjinga na wapo wengi sana watashuka viwango
 
#nagharamia imewazima mdomo hadi mashabiki....
Kiba mbayaaaaaaa sasa mond nae mwanamuziki au mnenguajiii bwahahahahaaaaaaaaaaaa...
Kunywa biaaaa # nagharamia mie.
Pasukeni kama vipi

Nagharamia mbovu kabisa, na ndio inadhidi kudhihirisha muandiko mzuri sio kufaulu mtihani..

Dint bother imetambulishwa mtvbase, na sasahivi inapigwa na redio kibao sio east africa pekee hadi nje ya hapa kwetu rotation za kutosha tu..

hata hype ya mashabiki walivyoipokea huwezi kabisa kufananisha na hiyo garamiwa..

Subirini mwanaume atoe vitu mwishoni mwezi huu, kuanzia tar 20 muda wowote Afrika nzima inazizima..
 

diamond kashapoteza mvuto,, hakuna mtu mwenye habari nae tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…