ushauri, uzi huu ungeweka historia ya diamond tangu kuzaliwa kwake hadi hapa alipofika leo,.
historia izingatie yafuatayo
-idad ya nyimbo zake pamoja na za kushirikishwa, kwa mlolongo sahihi kwa kuanza na nyimbo yake ya kwanza kumtambulisha hadi ya sasa.
-changamoto anazokumbana nazo katika kazi yake
-mafanikio yake kimuziki, kbinafsi na hata kijamii
-family yake
-nje na muziki diamond anapendelea kufanya nini ktk maisha yake ya kila siku,
MWISHO: UZI UWE UPDATED ANGALAU KILA BAADA YA MIEZI MITATU. HAFU YALE MATUKIO YA KUVUNJA REKODI ALIYOWAHI KUYAFANYA MFANO SHOW AU MATAMASHA, NI VEMA VIDEO/PICHA ZAKE ZIKAAMBATANA NA HUU UZI ILI KULETA MVUTO KWA WASOMAJI NA MASHABIKI WAKE.
NI USHAURI TU.