Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Naamini amewagawa sana wapenzi wake baada ya kujiingiza ktk siasa, kwan mm nilikuwa namtarajia ajiunge na siasa rasmi lkn sijui kaghahiri ila kiukweli uyu kada wa ccm angejiunga na siasa tu kwa muziki na siasa havitangaman, angewauliza bongo movie pia bushoke nadhan atabakia historia km hawa
 
Mm ni shabiki mkubwa sana wa huyu jamaa tokea kamwambie till this time.....lakini recently naona kama jamaa anaanza kupwaya iv maana yule diamond wa kutoa ngoma zinazosumbua media kuanzia bongo hadi nchi za nje simuoni tena....inasikitisha na kutia was was sana kama kuna nuru uko mbele inabidi yeye na manejiment yake wakae watulize vichwa ili kupata jawabu zuri ni wapi jamaa anakosea.......kwa ushauri mzuri ikiwezekana akae pembeni kwanza ili alisome game vizuri......mfano davido aliamuwa kuwa kimy kwa takribani mwaka mzima na sehem akilisoma game na come back yake imekuwa nzuri.
Acha majungu, wewe umefakisha nini hapo mtaani kwako? watanzania tuna majungu sana, mafanikio ya diamondplatinumz tunayapimaje? Dogo ni billionaire, ana nyumba, magari, ana mashabiki lukuki, ametangaza nchi na bado yupo juu. Unatumia vigezo vipi kwamba anashuka? Wewe kwako hata kiwanja huna umekazana kufuatilia wenzio, tuwe wakweli, mondi yupo juu, tumuombee aendelee kuiwakilisha na kuitangaza nchi.
 
Siyo ugomvi ndugu yangu hata humu jukwaani wanajua kuwa mm ni die hard fan wa domo
Kama unafatilia mziki wa domo utagundua kabisa kuna kitu kinapwaya na umarufu wake unapungua kwa kasi sana coz now hata watu hawana attention kabisa naye kila anachofanya now kinaonekana cha kawaida tu
Ushauri wng atengeze mazingira ya watu kummisi ili ata akirejea tena aje na nguvu mpya
 
Acha majungu, wewe umefakisha nini hapo mtaani kwako? watanzania tuna majungu sana, mafanikio ya diamondplatinumz tunayapimaje? Dogo ni billionaire, ana nyumba, magari, ana mashabiki lukuki, ametangaza nchi na bado yupo juu. Unatumia vigezo vipi kwamba anashuka? Wewe kwako hata kiwanja huna umekazana kufuatilia wenzio, tuwe wakweli, mondi yupo juu, tumuombee aendelee kuiwakilisha na kuitangaza nchi.
Unawajua mabilionea ww ...ama unaongea ongea?
 
Sasa hivi kama kachanganyikiwa vile!! Yaani anatoa ngoma kutest mafans wake kama bado wanamkubali..
Game linampeleka puta sana.....aache kutoa ngoma kwa mazoea maana watu asa ivi wapo siriaz na kazi....ukiangalia madude anayoyafumua davido cyo ya mchezo mchezo
 
Lakni sasa nyimbo za siku iz hazivumo kama zile za zamani afu kila anachofanya siku izi watu wanakiona cha kawaida tu so ndo maana nasema ajaribu kukaa pembeni kidogo kama mwaka mzima iv akusanye nguvu za kutosha

Aliambiwa anyamaze kwa muda ili watu wam miss.Akanyamaza akaja kutoa fire.Hamna hata response kubwaa.
Inaumiza.Mwenyewe fire hata sijaipenda.
Labda akitulia for a year labda...na Diamond hataweza.Saivi kiba akitoa hit song lazimaaa itapata response kubwa.
 
No hate but nimetoa maoni yng
Diamond anafokas biashara kijana....

Fire kaimba Kuteka west..

I miss you kuteka EA....

Hii nyingine inaitwa EkA nafkiri...kuna vionjo vya Nigeria mule..

Mwenzako anaitafuta Africa nzima..ananjaa na mialiko kuperform
.
We unataka akae kimya.!!? Utalipia wanae school fees. Embu ichomoe hiyo akili yako huko iliko nasa.
 
Sasa hivi kama kachanganyikiwa vile!! Yaani anatoa ngoma kutest mafans wake kama bado wanamkubali..
Pole sana aisee.... Utakufa masikini ndugu yangu. Amka hapo ulipo walau jaribu kumuiga Diamond.
 
Aliambiwa anyamaze kwa muda ili watu wam miss.Akanyamaza akaja kutoa fire.Hamna hata response kubwaa.
Inaumiza.Mwenyewe fire hata sijaipenda.
Labda akitulia for a year labda...na Diamond hataweza.Saivi kiba akitoa hit song lazimaaa itapata response kubwa.
Some time kiba anatumia akili sana kumantain maana anatengeza mazingira ya watu kummisi afu akija kuachia mashine inakuwa mtafutano
Na domo inabidi afanye ivo afu apunguze kutoa nyimbo kwa mazoea
 
Back
Top Bottom