Didas Nbc
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 472
- 319
Kidole cha kati akijawahi kumuacha MTU salamaApunguze kuiwaza sana international arudi local. Davido alifikiria sana international akasahau nyumbani hivi sasa karudi nyumbani anaeleweka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidole cha kati akijawahi kumuacha MTU salamaApunguze kuiwaza sana international arudi local. Davido alifikiria sana international akasahau nyumbani hivi sasa karudi nyumbani anaeleweka.
Shida wanataka kuwa kama wizkid ambaye hata yeye pia bado anastruggle internationally. Atulie atupe ngoma kali kama zamani tutampokea ni wa kwetu huyu. Bado kwangu mimi nitarejea na kesho ni nyimbo bora sana kuliko hizi za sasa hivi japo sijui kaimba na neyo,mafikizolo etc. Halafu kingine sijajua kama ni uinternational au , suala la lugha isiyofaa kwa maneno na vitendo inamshushia credibility yake sana. Aangalie na upande huo. I'm not hating. Sina timu nimetoa mawazo yangu kama team Tanzania. Peace..Apunguze kuiwaza sana international arudi local. Davido alifikiria sana international akasahau nyumbani hivi sasa karudi nyumbani anaeleweka.
Umeongea point sana.....Shida wanataka kuwa kama wizkid ambaye hata yeye pia bado anastruggle internationally. Atulie atupe ngoma kali kama zamani tutampokea ni wa kwetu huyu. Bado kwangu mimi nitarejea na kesho ni nyimbo bora sana kuliko hizi za sasa hivi japo sijui kaimba na neyo,mafikizolo etc. Halafu kingine sijajua kama ni uinternational au , suala la lugha isiyofaa kwa maneno na vitendo inamshushia credibility yake sana. Aangalie na upande huo. I'm not hating. Sina timu nimetoa mawazo yangu kama team Tanzania. Peace..
Dada big up sanakinachomdondosha diamond ni Lizer.
hivi wcb nzima imeshindwa kumuona lizer? kama ni tatizo!
Davido hamna alichokiimbia katika If wala Fall
ila beatz...
diamond hana tatizo lingine ,tatizo kubwa kabisa ni beats mbovu, msanii mkubwa kama yeye kupigiwa beat na lizer ni kujipoteza kwa game. lizer hana vionjo vya kumpigia diamond hata theluthi.
mmewahi kuwaza hivi Muziki ya darassa isingepigwa na ttouch ingekuaje? ingekua ngoma yakawaida kama zingine.
Halafu kwa social network kinachomfanya a-drop ni kupost, anapost mapicha ya hovyo hovyo ,kutwa post 10 zikipungua7
inafanya watu wamu unfmfollow sana, mwaka juzi alikua anaongoza Wasanii wa Africa kwa followers nowdays anaongoza Davido ana 4m na point zake.
sasa hivi diamond ana 3.8 akilingana na wizkid ambae nae soon atamwacha.
Jamaa hana mshauri na hajiongezi kabisa kutwa kupost,mara sitaki ushambenga anaboa sana sikuhizi.
Aache kufanya vitu kwa mazoea sasa, anajua fans wangu watafurahi tu hata nikitoa madudu
aishi maisha ya ustar kupost post kutwa nzima wakati ana Acc ya Wcb wasafi apinguze
ameshatupunguza morale fans wake kwakweli.
atashangaa ana rise mtu mwingine watu wanamhama.. ajiongeze katika hayo maswala.
2years Ago ,wasanii wote wa Africa walikua wanamtamani jinsi alivo na fans wanaompigania. asipoteze nyumbani , hata kama ndio kimataifa sio kiivyo
Madai yao wanatukomesha yule mama ana mchango mkubwa sana wa kudrop kwa diamond.Dada big up sana
Jamaa anaboa sana siku izi yaani unajikuta huna hata appetite ya kuingia kwenye page yake maana ni ujinga tu anaopost....na limwanamke lake cjui nalo akili ndogo yaani hawashauliani kabisa nn wapost
Lizer naye ni tatzo kubwa sana beat zake no creativity ni zilezile tu pia style ya uimbaji ni ileile tu habadiliki kabisa yaani in short anaboa sana siku izi
Ndio anaondoka hivyo! Hata mgodi huisha vito na kufungwa
Yaani diamond sijui kawaje yaani.....zamani alikuwaga mtu wa kucheza ma nyakati lkn tokea ampate huyu bibi yaani kawa kama kalogwa haoni wala hasikii atakuja kushtuka mda umeenda na lidem litampiga chini maana lile kwk lipo kiafter money na umarufuMadai yao wanatukomesha yule mama ana mchango mkubwa sana wa kudrop kwa diamond.
maana tumeshachoka na drama zao kama rob na chyna
Umeongea ukweli kabisa nahisi utakuwa unanifahamu maana umepita mulemuleUkute mleta mada anaishi kwa shemeji yake kila siku asubuhi anamgongea Dada yake vocha ajiunge kifurushi cha chuo ili abwabwaje kutwa nzima humu jamii forum
Sijui hawalioni hilo mkuu au kusikia kwa kenge mpk damu masikioni- Washapata wameridhika labda, kila kitu hakiko serious kwa sasa
- Utunzi wa mashairi umeshuka na ukijumlisha na ubovu wa maproducers ndo hakuna kitu
- Kuigiza kinigeria mpaka kero mpaka majina, beats na lafudhi
- Ukijumlisha na drama za maisha zisizokuwa na mpango zinapunguza credit kabisa
- Ila sema kwa sasa wasanii wengine hawako serious kubadili upepo wa game, game bado ni lile lile lililotengezwa na domo lililojaa KIKI, BEEF na DRAMA
USHAURI:Ajitokeze msanii asiendekeze drama ila awe na ubunifu kama wa domo enzi za KAMWAMBIE, MBAGALA, MOYO WANGU si akopi abuni kivyake yaani atoke tofauti. Then awatumie maproducer wachanga akue taratibu then ghafla mbona GAME analibadili faster.
- MIDUNDO, DRAMA, LIFESTYLE ya Wasafi ishakoma haina mwendelezo tena.
Mlikuwa wote kipindi anatambika apo mwanzo......sometime muongee point siyo unakurupuka tu utafiki umekunywa maji ya chooniHalooo akafie mbele hawezi rudi tena huyo ukitumia nguvu za giza madhara yake ndio hayo ukianza chuja unachuja kabisa labda ukatambike tena
Akili yako ndogo size ya diclopa am feel sorry for youndio maana ameanza kuuza karanga coz anajua hilo kuwa mziki umeaanza kugoma
umenena chief maisha yanavipindi. kisha kutesa kwa zamuAmeutendea haki wakati wake! Hakufanya makosa kama wengine
Sijaelewa ata ulichochangia naona umeandika shudu tu.....out of topicSaivi anauza karanga, kasoma mchezo tayari. Atabaki kuwa manager wa WCB