Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Apunguze kuiwaza sana international arudi local. Davido alifikiria sana international akasahau nyumbani hivi sasa karudi nyumbani anaeleweka.
Shida wanataka kuwa kama wizkid ambaye hata yeye pia bado anastruggle internationally. Atulie atupe ngoma kali kama zamani tutampokea ni wa kwetu huyu. Bado kwangu mimi nitarejea na kesho ni nyimbo bora sana kuliko hizi za sasa hivi japo sijui kaimba na neyo,mafikizolo etc. Halafu kingine sijajua kama ni uinternational au , suala la lugha isiyofaa kwa maneno na vitendo inamshushia credibility yake sana. Aangalie na upande huo. I'm not hating. Sina timu nimetoa mawazo yangu kama team Tanzania. Peace..
 
kinachomdondosha diamond ni Lizer.
hivi wcb nzima imeshindwa kumuona lizer? kama ni tatizo!

Davido hamna alichokiimbia katika If wala Fall
ila beatz...
diamond hana tatizo lingine ,tatizo kubwa kabisa ni beats mbovu, msanii mkubwa kama yeye kupigiwa beat na lizer ni kujipoteza kwa game. lizer hana vionjo vya kumpigia diamond hata theluthi.

mmewahi kuwaza hivi Muziki ya darassa isingepigwa na ttouch ingekuaje? ingekua ngoma yakawaida kama zingine.

Halafu kwa social network kinachomfanya a-drop ni kupost, anapost mapicha ya hovyo hovyo ,kutwa post 10 zikipungua7
inafanya watu wamu unfmfollow sana, mwaka juzi alikua anaongoza Wasanii wa Africa kwa followers nowdays anaongoza Davido ana 4m na point zake.
sasa hivi diamond ana 3.8 akilingana na wizkid ambae nae soon atamwacha.
Jamaa hana mshauri na hajiongezi kabisa kutwa kupost,mara sitaki ushambenga anaboa sana sikuhizi.

Aache kufanya vitu kwa mazoea sasa, anajua fans wangu watafurahi tu hata nikitoa madudu
aishi maisha ya ustar kupost post kutwa nzima wakati ana Acc ya Wcb wasafi apinguze
ameshatupunguza morale fans wake kwakweli.
atashangaa ana rise mtu mwingine watu wanamhama.. ajiongeze katika hayo maswala.

2years Ago ,wasanii wote wa Africa walikua wanamtamani jinsi alivo na fans wanaompigania. asipoteze nyumbani , hata kama ndio kimataifa sio kiivyo
 
Umeongea point sana.....
 
Dada big up sana
Jamaa anaboa sana siku izi yaani unajikuta huna hata appetite ya kuingia kwenye page yake maana ni ujinga tu anaopost....na limwanamke lake cjui nalo akili ndogo yaani hawashauliani kabisa nn wapost
Lizer naye ni tatzo kubwa sana beat zake no creativity ni zilezile tu pia style ya uimbaji ni ileile tu habadiliki kabisa yaani in short anaboa sana siku izi
 
Madai yao wanatukomesha yule mama ana mchango mkubwa sana wa kudrop kwa diamond.
maana tumeshachoka na drama zao kama rob na chyna
 
Ndio anaondoka hivyo! Hata mgodi huisha vito na kufungwa

Nakuunga mkono kaka, kila kitu kina mwisho, haya mambo yananikumbusha baadhi ya maandiko yako, ulimwengu unaoonekana na usiionekana .....
 
Madai yao wanatukomesha yule mama ana mchango mkubwa sana wa kudrop kwa diamond.
maana tumeshachoka na drama zao kama rob na chyna
Yaani diamond sijui kawaje yaani.....zamani alikuwaga mtu wa kucheza ma nyakati lkn tokea ampate huyu bibi yaani kawa kama kalogwa haoni wala hasikii atakuja kushtuka mda umeenda na lidem litampiga chini maana lile kwk lipo kiafter money na umarufu
Yeye anahisi anatukomesha ila anajikomoa mwenye atakuja kushtuka kumekucha
 
Ukute mleta mada anaishi kwa shemeji yake kila siku asubuhi anamgongea Dada yake vocha ajiunge kifurushi cha chuo ili abwabwaje kutwa nzima humu jamii forum
 
- Washapata wameridhika labda, kila kitu hakiko serious kwa sasa

- Utunzi wa mashairi umeshuka na ukijumlisha na ubovu wa maproducers ndo hakuna kitu

- Kuigiza kinigeria mpaka kero mpaka majina, beats na lafudhi

- Ukijumlisha na drama za maisha zisizokuwa na mpango zinapunguza credit kabisa

- Ila sema kwa sasa wasanii wengine hawako serious kubadili upepo wa game, game bado ni lile lile lililotengezwa na domo lililojaa KIKI, BEEF na DRAMA

USHAURI:Ajitokeze msanii asiendekeze drama ila awe na ubunifu kama wa domo enzi za KAMWAMBIE, MBAGALA, MOYO WANGU si akopi abuni kivyake yaani atoke tofauti. Then awatumie maproducer wachanga akue taratibu then ghafla mbona GAME analibadili faster.

- MIDUNDO, DRAMA, LIFESTYLE ya Wasafi ishakoma haina mwendelezo tena.
 
Halooo akafie mbele hawezi rudi tena huyo ukitumia nguvu za giza madhara yake ndio hayo ukianza chuja unachuja kabisa labda ukatambike tena
 
- Washapata wameridhika labda, kila kitu hakiko serious kwa sasa

- Utunzi wa mashairi umeshuka na ukijumlisha na ubovu wa maproducers ndo hakuna kitu

- Kuigiza kinigeria mpaka kero mpaka majina, beats na lafudhi

- Ukijumlisha na drama za maisha zisizokuwa na mpango zinapunguza credit kabisa

- Ila sema kwa sasa wasanii wengine hawako serious kubadili upepo wa game, game bado ni lile lile lililotengezwa na domo lililojaa KIKI, BEEF na DRAMA

USHAURI:Ajitokeze msanii asiendekeze drama ila awe na ubunifu kama wa domo enzi za KAMWAMBIE, MBAGALA, MOYO WANGU si akopi abuni kivyake yaani atoke tofauti. Then awatumie maproducer wachanga akue taratibu then ghafla mbona GAME analibadili faster.

- MIDUNDO, DRAMA, LIFESTYLE ya Wasafi ishakoma haina mwendelezo tena.
Sijui hawalioni hilo mkuu au kusikia kwa kenge mpk damu masikioni
Maana sizani kama huwa hawapiti kwny hizi platform kunyatia nyatia habari.....
 
Saivi anauza karanga, kasoma mchezo tayari. Atabaki kuwa manager wa WCB
 
Back
Top Bottom