Sina uhakika kama ni sasa lakini kama ilivyokuwa kwa wasanii wengine, tena toka kule kule ambako tunahusudu muziki wao, Diamond nae utafika wakati wake utapita tu!!!
Inaweza kuwa leo, kesho au hata 2025... lakini hakuna mwanamuziki anayebaki top maisha yake yote ya muziki!!
Binafsi nitaendelea kumuheshimu hata kama atashuka to the level of Mr. Nice kuanzia leo!!
Huyu jamaa tangu atoke na Kamwambie hadi hivi sasa, bado ameng'ang'ania among Top 3 kwa miaka 8 hivi sasa! Si kazi ndogo!!!
Na linapokuja suala la statistics and figures... kwa muda wote huo amekuwa at the Top kwenye kila idara!!!!
Hata hivyo, bado siamini kwamba ameishiwa!!!