Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Mbona ngoma zake zinabamba sana clubs na radio... Au nyie mko south sudan...

Mshaurini kiba atoe ngoma.. Diamond yupo ktk biashara banduguu...
Kabisa hata mi nashangaa mbona yuko vizuri tu wanataka akae kimya mwaka halafu kurudi aanze kutafuta mabeef na watu kama wengine walivyorudi?
 
Mm ni shabiki mkubwa sana wa huyu jamaa tokea kamwambie till this time.....lakini recently naona kama jamaa anaanza kupwaya iv maana yule diamond wa kutoa ngoma zinazosumbua media kuanzia bongo hadi nchi za nje simuoni tena....inasikitisha na kutia was was sana kama kuna nuru uko mbele inabidi yeye na manejiment yake wakae watulize vichwa ili kupata jawabu zuri ni wapi jamaa anakosea.......kwa ushauri mzuri ikiwezekana akae pembeni kwanza ili alisome game vizuri......mfano davido aliamuwa kuwa kimy kwa takribani mwaka mzima na sehem akilisoma game na come back yake imekuwa nzuri.
Ww ni mswahili hujui hili gemu la kimataifa ni nn. Diamond alishaacha kufanya mziki mara kwa mara kuwafurahisha waswahili kama ww, na ndiyo sababu cyo lzm mziki wake uwe mzuri kwako, tofautisha mziki biashara na kaswida.
 
Vuteni viti mkae haters hamkosekani. Lolote afanyalo mtu usiyempenda hata pakupongeza hutoona.
Asipo post watu Insta mnasema anajishaua.
Akikaa kimya bila wimbo kafulia.
Akitoa nyimbo mfulululizo kafulia.
Hizo nyimbo za zaman mtu unajidai kuzisikiliza now kupindi zinatoka nazo uliziona ni nyimbo mbaya.
Wabongo hatunaga jema kwa mtu.
 
Sina uhakika kama ni sasa lakini kama ilivyokuwa kwa wasanii wengine, tena toka kule kule ambako tunahusudu muziki wao, Diamond nae utafika wakati wake utapita tu!!!

Inaweza kuwa leo, kesho au hata 2025... lakini hakuna mwanamuziki anayebaki top maisha yake yote ya muziki!!

Binafsi nitaendelea kumuheshimu hata kama atashuka to the level of Mr. Nice kuanzia leo!!

Huyu jamaa tangu atoke na Kamwambie hadi hivi sasa, bado ameng'ang'ania among Top 3 kwa miaka 8 hivi sasa! Si kazi ndogo!!!

Na linapokuja suala la statistics and figures... kwa muda wote huo amekuwa at the Top kwenye kila idara!!!!

Hata hivyo, bado siamini kwamba ameishiwa!!!
 
Mimi nakereka na collabo za Nigeria yaani nikiona tu mnigeria wimbo ushanikinai, kwanini asiimbe pekeyake kama zamani au hajiamini tena? All in All hata jamaa akiacha mziki Leo tayari ni legendary, achievement aliyoipata kwenye game hakuna mbongofleva ambaye amewahi ifikia hata nusu yake. Ajikite zaidi kujiimarisha kwenye biashara zake maana ukweli mchungu wakati wake unaelekea kupita
 
Unataka kunambia zama zake zinamekwisha
Hapana anaweza kufanya kazi bila stress au kutafuta kiki kama akina zoro kimbute jikho man ay mwana fa prof jay nk!
Ni kuinvest huku akinodonoa single hapa na pale mpaka atakapoamua kuwa meneja wa wasanii wenzake!
 
Lakni sasa nyimbo za siku iz hazivumo kama zile za zamani afu kila anachofanya siku izi watu wanakiona cha kawaida tu so ndo maana nasema ajaribu kukaa pembeni kidogo kama mwaka mzima iv akusanye nguvu za kutosha
Halafuuu.. ..kama zinafananaaa vileeee!!?
 
Juzi alikuwa ana show kubwa tu zambia,ikaja kenya....akapumzika wakati wa mfungo..baada ya kumaliza moto ukawaka rwanda na goma,congo tarehe 22 mwezi huu moto unawaka leaders...na bado show ni nyingi...I miss you..ina view million 2 ndani ya week...sasa unaposema ameshuka sijui unatumia vigezo gani???acha unafiki....nenda kamshauri yule aliepewa udirector kwenye kampuni yenu...
 
Yaani diamond sijui kawaje yaani.....zamani alikuwaga mtu wa kucheza ma nyakati lkn tokea ampate huyu bibi yaani kawa kama kalogwa haoni wala hasikii atakuja kushtuka mda umeenda na lidem litampiga chini maana lile kwk lipo kiafter money na umarufu
Yeye anahisi anatukomesha ila anajikomoa mwenye atakuja kushtuka kumekucha
Basis ya thread yako ni nin....unamuonwa wivu zari au yuo have constructive advise ya kuwa awe scarce kidogo??
 
Kweli wanawake hampendani..povu lote hilo tatizo ni mwanamke mwenzio....hii chuki inakuumiza wewe zaidi kuliko wao....take it easy maa...
sasa mimi nikamuonee wivu zari kisa nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Em jifikirieni kidogo.
Diamond ni wakwetu tukiona ana drop na tunaona baadhi ya sababu tusiziseme?
kisa tunamuogopa mama Tiffa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Come on Nigga...!
 
sasa mimi nikamuonee wivu zari kisa nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Em jifikirieni kidogo.
Diamond ni wakwetu tukiona ana drop na tunaona baadhi ya sababu tusiziseme?
kisa tunamuogopa mama Tiffa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Come on Nigga...!
Ukweli hata mm naungana na ww huyu bibi anamnyonya sana msanii wetu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom