Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Niliona niufukue
Niliutafuta saaana!!ID yangu ya zamani naiona ileee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],najimisi sana sema basi tu,ahsante mkuu kwa kutufufulia Uzi wetu pendwa[emoji108]!!

Cc ChingaOne@Dinazarde@paulakilaki@mzurimie@data@bansenburner na wengine kibaooo!!dah nimeimis JF ya Zamani saana..
watani zetu kina Matola@niffah@genoverous [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]moto ulikuwa unawaka mbayaaa!!!
 
ushauri, uzi huu ungeweka historia ya diamond tangu kuzaliwa kwake hadi hapa alipofika leo,.
historia izingatie yafuatayo
-idad ya nyimbo zake pamoja na za kushirikishwa, kwa mlolongo sahihi kwa kuanza na nyimbo yake ya kwanza kumtambulisha hadi ya sasa.
-changamoto anazokumbana nazo katika kazi yake
-mafanikio yake kimuziki, kbinafsi na hata kijamii
-family yake
-nje na muziki diamond anapendelea kufanya nini ktk maisha yake ya kila siku,
MWISHO: UZI UWE UPDATED ANGALAU KILA BAADA YA MIEZI MITATU. HAFU YALE MATUKIO YA KUVUNJA REKODI ALIYOWAHI KUYAFANYA MFANO SHOW AU MATAMASHA, NI VEMA VIDEO/PICHA ZAKE ZIKAAMBATANA NA HUU UZI ILI KULETA MVUTO KWA WASOMAJI NA MASHABIKI WAKE.

NI USHAURI TU.
 
efc776f324010286a934fe4baf7dab13.jpg


Denmark mpaka Finland [HASHTAG]#Malengo[/HASHTAG]
 
Mm ni shabiki mkubwa sana wa huyu jamaa tokea kamwambie till this time.....lakini recently naona kama jamaa anaanza kupwaya iv maana yule diamond wa kutoa ngoma zinazosumbua media kuanzia bongo hadi nchi za nje simuoni tena....inasikitisha na kutia was was sana kama kuna nuru uko mbele inabidi yeye na manejiment yake wakae watulize vichwa ili kupata jawabu zuri ni wapi jamaa anakosea.......kwa ushauri mzuri ikiwezekana akae pembeni kwanza ili alisome game vizuri......mfano davido aliamuwa kuwa kimy kwa takribani mwaka mzima na sehem akilisoma game na come back yake imekuwa nzuri.
 
Back
Top Bottom