KASHOROBAN
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 859
- 738
Acha majungu, wewe umefakisha nini hapo mtaani kwako? watanzania tuna majungu sana, mafanikio ya diamondplatinumz tunayapimaje? Dogo ni billionaire, ana nyumba, magari, ana mashabiki lukuki, ametangaza nchi na bado yupo juu. Unatumia vigezo vipi kwamba anashuka? Wewe kwako hata kiwanja huna umekazana kufuatilia wenzio, tuwe wakweli, mondi yupo juu, tumuombee aendelee kuiwakilisha na kuitangaza nchi.Mm ni shabiki mkubwa sana wa huyu jamaa tokea kamwambie till this time.....lakini recently naona kama jamaa anaanza kupwaya iv maana yule diamond wa kutoa ngoma zinazosumbua media kuanzia bongo hadi nchi za nje simuoni tena....inasikitisha na kutia was was sana kama kuna nuru uko mbele inabidi yeye na manejiment yake wakae watulize vichwa ili kupata jawabu zuri ni wapi jamaa anakosea.......kwa ushauri mzuri ikiwezekana akae pembeni kwanza ili alisome game vizuri......mfano davido aliamuwa kuwa kimy kwa takribani mwaka mzima na sehem akilisoma game na come back yake imekuwa nzuri.
Siyo ugomvi ndugu yangu hata humu jukwaani wanajua kuwa mm ni die hard fan wa domoAcha majungu, wewe umefakisha nini hapo mtaani kwako? watanzania tuna majungu sana, mafanikio ya diamondplatinumz tunayapimaje? Dogo ni billionaire, ana nyumba, magari, ana mashabiki lukuki, ametangaza nchi na bado yupo juu. Unatumia vigezo vipi kwamba anashuka? Wewe kwako hata kiwanja huna umekazana kufuatilia wenzio, tuwe wakweli, mondi yupo juu, tumuombee aendelee kuiwakilisha na kuitangaza nchi.
Unawajua mabilionea ww ...ama unaongea ongea?Acha majungu, wewe umefakisha nini hapo mtaani kwako? watanzania tuna majungu sana, mafanikio ya diamondplatinumz tunayapimaje? Dogo ni billionaire, ana nyumba, magari, ana mashabiki lukuki, ametangaza nchi na bado yupo juu. Unatumia vigezo vipi kwamba anashuka? Wewe kwako hata kiwanja huna umekazana kufuatilia wenzio, tuwe wakweli, mondi yupo juu, tumuombee aendelee kuiwakilisha na kuitangaza nchi.
Jus chillax broza mbona wa moto ivoWanene na pesa zao wanauza karanga,
Wewe na mlege wako umekalia kubwabwaja, uza smart phne kafge kuku
No hate but nimetoa maoni yngAcha wivu
Miaka itakuja atapoa huku akisimamia biashara anazojenga sasa.
No hate but nimetoa maoni yng
Game linampeleka puta sana.....aache kutoa ngoma kwa mazoea maana watu asa ivi wapo siriaz na kazi....ukiangalia madude anayoyafumua davido cyo ya mchezo mchezoSasa hivi kama kachanganyikiwa vile!! Yaani anatoa ngoma kutest mafans wake kama bado wanamkubali..
Tuanze kwako ww unawajua?Unawajua mabilionea ww ...ama unaongea ongea?
Ukweli wako ni upi mkuu?Ukisema ukweli huwezi kupendwa. ...lakini ukweli unaishi milele.
Lakni sasa nyimbo za siku iz hazivumo kama zile za zamani afu kila anachofanya siku izi watu wanakiona cha kawaida tu so ndo maana nasema ajaribu kukaa pembeni kidogo kama mwaka mzima iv akusanye nguvu za kutosha
Diamond anafokas biashara kijana....No hate but nimetoa maoni yng
Pole sana aisee.... Utakufa masikini ndugu yangu. Amka hapo ulipo walau jaribu kumuiga Diamond.Sasa hivi kama kachanganyikiwa vile!! Yaani anatoa ngoma kutest mafans wake kama bado wanamkubali..
Some time kiba anatumia akili sana kumantain maana anatengeza mazingira ya watu kummisi afu akija kuachia mashine inakuwa mtafutanoAliambiwa anyamaze kwa muda ili watu wam miss.Akanyamaza akaja kutoa fire.Hamna hata response kubwaa.
Inaumiza.Mwenyewe fire hata sijaipenda.
Labda akitulia for a year labda...na Diamond hataweza.Saivi kiba akitoa hit song lazimaaa itapata response kubwa.