kuna kitu wazungu wanaita burning out unaweZa kuwa na kipaji lakini ukikitumia kupita kiasi utaisha mapena na kujikuta huna tena moto kama zamani...Ayo ni maneno tu but akijipanga game bado bichi sana
Maisha yenu yamewashinda mnajadilia yawengine. Tope in ur brain shenzytypesasa mimi nikamuonee wivu zari kisa nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Em jifikirieni kidogo.
Diamond ni wakwetu tukiona ana drop na tunaona baadhi ya sababu tusiziseme?
kisa tunamuogopa mama Tiffa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Come on Nigga...!
na wewe unajadili maisha ya nani hapa?Maisha yenu yamewashinda mnajadilia yawengine. Tope in ur brain shenzytype
Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
Sawa bwana we utakufa tajili, hapo ndio utajiuliza kuwa utajili una maana gani katika maisha yako!!!!Pole sana aisee.... Utakufa masikini ndugu yangu. Amka hapo ulipo walau jaribu kumuiga Diamond.
Mkuu umeongea vizuri sanaMm ni shabiki mkubwa sana wa huyu jamaa tokea kamwambie till this time.....lakini recently naona kama jamaa anaanza kupwaya iv maana yule diamond wa kutoa ngoma zinazosumbua media kuanzia bongo hadi nchi za nje simuoni tena....inasikitisha na kutia was was sana kama kuna nuru uko mbele inabidi yeye na manejiment yake wakae watulize vichwa ili kupata jawabu zuri ni wapi jamaa anakosea.......kwa ushauri mzuri ikiwezekana akae pembeni kwanza ili alisome game vizuri......mfano davido aliamuwa kuwa kimy kwa takribani mwaka mzima na sehem akilisoma game na come back yake imekuwa nzuri.
Mkuu leo huyu isho boy unamuhusisha na Ali Kiba kwasababu kamshauri Diamond?Mbona ngoma zake zinabamba sana clubs na radio... Au nyie mko south sudan...
Mshaurini kiba atoe ngoma.. Diamond yupo ktk biashara banduguu...
Acha ujuaji, kitu wazungu wanaita na ww mweusi wp na wp. Halafu unajaza list na ma.footballers nani asiyejuwa kuwa wanashuka viwango na wana age limit!kuna kitu wazungu wanaita burning out unaweZa kuwa na kipaji lakini ukikitumia kupita kiasi utaisha mapena na kujikuta huna tena moto kama zamani...
Hii hutokea hata kwa wanamichezo pia wengi wanaoanza kufanya maajabu wakiwa bado wadogo na kupata sifa dunia nzima huisha mapema sana.. mfano katika football Luna
1.Pato
2 Robinho
3.Adriano
4.Michael Owen
5.Martin odegaard
6.Depay
na wengine kibao. wachache sana huendelea kudumu katika kasi ileile angalau kwa miaka9 au10 bila kushuka hili hutokea kwenye muziki vilevile
UmesahauTatizo kwetu Mbagala
Nenda kamwambie
Nitarejea
My number one remix
Mdogo Mdogo
Kwishaaaaaaa kwa mtazamo wangu
Umesahau
Kesho na Nataka kulewa.
ninachoona hapo mashabiki wamezoea ladha ya mziki wake siyo kama ameshuka anachotakiwa kufanya ni kukaa pembeni kwanza ili watu wammisi.Lakni sasa nyimbo za siku iz hazivumo kama zile za zamani afu kila anachofanya siku izi watu wanakiona cha kawaida tu so ndo maana nasema ajaribu kukaa pembeni kidogo kama mwaka mzima iv akusanye nguvu za kutosha
Kama imekuuma si unapita kushoto mzee kwani lazima utapike hapa? alaa!Acha ujuaji, kitu wazungu wanaita na ww mweusi wp na wp. Halafu unajaza list na ma.footballers nani asiyejuwa kuwa wanashuka viwango na wana age limit!
Mziki unauwekaje kundi hilo? Leo Burning Sprear na uzee wake hakuna msanii kijana anamweza.
Ww pita chini kama nchale umekuchoma.Kama imekuuma si unapita kushoto mzee kwani lazima utapike hapa? alaa!