Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Lazma ifike kipindi akubali kuandikiwa na kununua nyimbo. Bt kpaji binafsi naona kimeisha
 
Pale shughuli ndio imeisha analazimisha watu waendelee kumsikia kwa kutoa nyimbo kila wiki.
 
Mm ni shabiki mkubwa sana wa huyu jamaa tokea kamwambie till this time.....lakini recently naona kama jamaa anaanza kupwaya iv maana yule diamond wa kutoa ngoma zinazosumbua media kuanzia bongo hadi nchi za nje simuoni tena....inasikitisha na kutia was was sana kama kuna nuru uko mbele inabidi yeye na manejiment yake wakae watulize vichwa ili kupata jawabu zuri ni wapi jamaa anakosea.......kwa ushauri mzuri ikiwezekana akae pembeni kwanza ili alisome game vizuri......mfano davido aliamuwa kuwa kimy kwa takribani mwaka mzima na sehem akilisoma game na come back yake imekuwa nzuri.
Hivi wewe mtu anapiga show kila kona ya dunia....investment kama chibu na diamond Karanga...lebo ya wcb inavyoingiza mkwanja....juzi nilikiwa Kenya wakat rayvany anapga show....nilotokwa na machozz jinsi show ilivyojaza....nikasema rayvany wa juzi tu kashapata mashabiki kiasi hichi!!!! Wakat yule jamaa akienda kule hajaz hata restaurant....

Pambana na hali yako kijana.....

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mm ni shabiki mkubwa sana wa huyu jamaa tokea kamwambie till this time.....lakini recently naona kama jamaa anaanza kupwaya iv maana yule diamond wa kutoa ngoma zinazosumbua media kuanzia bongo hadi nchi za nje simuoni tena....inasikitisha na kutia was was sana kama kuna nuru uko mbele inabidi yeye na manejiment yake wakae watulize vichwa ili kupata jawabu zuri ni wapi jamaa anakosea.......kwa ushauri mzuri ikiwezekana akae pembeni kwanza ili alisome game vizuri......mfano davido aliamuwa kuwa kimy kwa takribani mwaka mzima na sehem akilisoma game na come back yake imekuwa nzuri.
Wazo zuri,watu wameshachoka na style yake moja ya kucheza na kuimba,anatakiwa aongeze ubunifu kidogo.
 
Ndo upeo wako wa kuwaza umeishia apo tuna safari ndefu sana

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

Hivi umewahi kujiuliza kama Diamond ni mwanamuziki kweli? Dogo ana ngekewa tu ila si mwanamuziki na hata kuimba hajuwi, analazimisha tu.
 
Pale shughuli ndio imeisha analazimisha watu waendelee kumsikia kwa kutoa nyimbo kila wiki.
Kwa hiyo tokea huu mwaka uingie katoa nyimbo ngapi maana miezi saba kuna week nying sana humo

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Shida wanataka kuwa kama wizkid ambaye hata yeye pia bado anastruggle internationally. Atulie atupe ngoma kali kama zamani tutampokea ni wa kwetu huyu. Bado kwangu mimi nitarejea na kesho ni nyimbo bora sana kuliko hizi za sasa hivi japo sijui kaimba na neyo,mafikizolo etc. Halafu kingine sijajua kama ni uinternational au , suala la lugha isiyofaa kwa maneno na vitendo inamshushia credibility yake sana. Aangalie na upande huo. I'm not hating. Sina timu nimetoa mawazo yangu kama team Tanzania. Peace..
Neyo kapoza kawa 20%percent wa marekan

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
ndio maana ameanza kuuza karanga coz anajua hilo kuwa mziki umeaanza kugoma
Kwaiyo unamaanisha kua ameanza Ku defense??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Mi nafikiri kwa ujumla kuna shida katika muziki wa bongo kwa sasa wala hili si suala la Diamond pekee, kwani tukisema Diamond anabuma lazima tumuoneshe anaetamba kwa sasa, kama hayupo tafsiri yake nini sasa? Ni either bado Diamond yuko juu au muziki wa bongo kwa ujumla umepoa.

Pia nafikiri sababu ya fame ya wanamuziki wengi kudrop ni "ugumu wa maisha" kwa upande wa Tz pekee kitu ambacho kimefanya watu/wadau na washikadau wawe bize kupambana na maisha na kuachana na mambo ya starehe {ambapo muziki huwa unapenyea hapa} ndio maana kwa nje bado nafasi ya international artist imeshikwa na Diamond, while huku ndani tunaona amepoa. Pia kuna kipindi kiki ilihamia kwenye siasa kitu kilichosababisha hata msanii afurukute vipi hawezi kutrend sana kama zamani.

Tukisema Diamond hasikiki basi wasanii wengine hali zao ni mbaya zaidi.
 
Back
Top Bottom