1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
je ally k, akae mingapi?Mm ni shabiki mkubwa sana wa huyu jamaa tokea kamwambie till this time.....lakini recently naona kama jamaa anaanza kupwaya iv maana yule diamond wa kutoa ngoma zinazosumbua media kuanzia bongo hadi nchi za nje simuoni tena....inasikitisha na kutia was was sana kama kuna nuru uko mbele inabidi yeye na manejiment yake wakae watulize vichwa ili kupata jawabu zuri ni wapi jamaa anakosea.......kwa ushauri mzuri ikiwezekana akae pembeni kwanza ili alisome game vizuri......mfano davido aliamuwa kuwa kimy kwa takribani mwaka mzima na sehem akilisoma game na come back yake imekuwa nzuri.
dully akae mingap?
wa mitego akae mingap?
fafanua kotekote [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app