Hivi umewahi kujiuliza kama Diamond ni mwanamuziki kweli? Dogo ana ngekewa tu ila si mwanamuziki na hata kuimba hajuwi, analazimisha tu.
Duh!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi umewahi kujiuliza kama Diamond ni mwanamuziki kweli? Dogo ana ngekewa tu ila si mwanamuziki na hata kuimba hajuwi, analazimisha tu.
Hili alilijibu vizuri sana kwenye interview yake NTV Kenya.Hivi ngoma za domo za kitambo s zilikuwa na tungo tukufu kabisa...
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kiba square.....hahahaha.WCB the Home Of Creativity hivi AbdulKiba yuko wapi siku hizi???
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Eneka habari ya mjiniKiba square.....hahahaha.
Akili kama hizi ndio znafanya huu mziki hufiki unapotakiwa, we have to support all our musician nasio kuleta issue za timu,nonsenseTeam wenzio washapaniki uko hari tete
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Eneka.Hivi mnazungumzia nini kwani?
Yupo kwa kaka AliWCB the Home Of Creativity hivi AbdulKiba yuko wapi siku hizi???
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Anazitafuta izo deal cyo kwamba wanamfataHe had to change period..Na ukibadilika kuna watu hawatapenda...conversion brings crisis..Jamaa ana chibu perfume,wasafi label, dai karanga n coming soon chibu beats..Anajua kuspot potential talents kwny soko akawasajili wasafi, kuhus kuimba eneka is a hit, kuliko Ngoma zake nyingi...Kusema anapotea una maana gani ...Put it in numbers coz tunaamin numbers do not lie.....Mi naamini chanda chema huvishwa pete angalia endorsement deals znazomfata e.g coca-cola,Voda, na safaricom soon unafikir kwa nn wamemfata platnumz c wengne?
Sent from my HTC_One_max using JamiiForums mobile app
Kazi ya marketing manager wa kampuni ni kupromote jina la kampuni esp kwa kutumia watu wenye influence kama wasanii ..sas tz kuna msanii anainfluence ka diamond platnumz...Na ryt now kuna deal za safaricom, na nyingne mkataba wa Voda na coca-cola ukiisha....So wasanii hawatafuti izi endorsement deals znakuja baaada ya kaz kukubalika n ukiwa na influence kubwa kwny sicietyAnazitafuta izo deal cyo kwamba wanamfata
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
![]()
You tube
![]()
Aya mhengaKwa siku za karibuni,Diamond Plutnumz{kipenzi cha wengi} katoa nyimbo tatu mfululizo.Kati ya hizo,mbili yaan fire na eneka(hasa eneka),kaonyesha ni jinsi gani anaipenda Nigeria na maudhui yake,yaani hajajificha kabisa.
Lakini mapokeo ya hizi nyimbo mbili naona sio kiviiiiiiile kama enzi zile.Nia yake ni kuteka soko la Africa hasa nigeria.Lakini kwa mapokeo hayo naiman watu wamechoka na tunes za kinigeria coz zimekuwa nyingi sana,si kwake tu bali kila chanel inapiga nyimbo za Nigeria.
So kabla hatujamsahau kabisa na kumuona hana jipya hebu ajaribu kuwaacha hawa watu kwa MUDA na KUJIAMINI KWAMBA ANAWEZA.
Bro umetuhama sana yaani umetusahau saaana kaka,hiyo drop unaitafuta mwenyewe.
Halaf una style unaipenda sana ya kutumia SUBTITLES kwa nyimbo zako ambapo ni typical bongo fleva mfani i miss u n.k.Kwa ushauri tu ni bora uwe unatoa nyimbo mbili,ya kiswahili na kiingereza,najua kwa sasa upo vizuri in english bro
Mhenga
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app