princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Eneka mi nakupendaga[emoji7][emoji7][emoji7]
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenifanya nimkumbuke lara 1 sijui yuko wapi huyu mtuIgweeee.....
Wamekomalia kweli...ka wanalipwa vile!!Usengr huu.... Mnachoshaa...
Kama anapiga pesa kunashida gani? Arudi nyumbani kuuza sura? Maisha popote pale..Kwa siku za karibuni,Diamond Plutnumz{kipenzi cha wengi} katoa nyimbo tatu mfululizo.Kati ya hizo,mbili yaan fire na eneka(hasa eneka),kaonyesha ni jinsi gani anaipenda Nigeria na maudhui yake,yaani hajajificha kabisa.
Lakini mapokeo ya hizi nyimbo mbili naona sio kiviiiiiiile kama enzi zile.Nia yake ni kuteka soko la Africa hasa nigeria.Lakini kwa mapokeo hayo naiman watu wamechoka na tunes za kinigeria coz zimekuwa nyingi sana,si kwake tu bali kila chanel inapiga nyimbo za Nigeria.
So kabla hatujamsahau kabisa na kumuona hana jipya hebu ajaribu kuwaacha hawa watu kwa MUDA na KUJIAMINI KWAMBA ANAWEZA.
Bro umetuhama sana yaani umetusahau saaana kaka,hiyo drop unaitafuta mwenyewe.
Halaf una style unaipenda sana ya kutumia SUBTITLES kwa nyimbo zako ambapo ni typical bongo fleva mfani i miss u n.k.Kwa ushauri tu ni bora uwe unatoa nyimbo mbili,ya kiswahili na kiingereza,najua kwa sasa upo vizuri in english bro
Mhenga
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
I miss you nakukumbuka iyeee ,
I miss you nakukumbuka iyeee.
naomben tofauti ya tafsili wahenga wetu kati ya miss na kukumbuka