....Ndiyo game lilivyo U can't remain on top throughout, but as well said by Mshana muda wake ameutendea haki....Unataka kunambia zama zake zinamekwisha
kweli maoni ni mk.ndu, kila mtu anao.
Mbombo ngafuUghonile tata.!
Hivi wewe mtu anapiga show kila kona ya dunia....investment kama chibu na diamond Karanga...lebo ya wcb inavyoingiza mkwanja....juzi nilikiwa Kenya wakat rayvany anapga show....nilotokwa na machozz jinsi show ilivyojaza....nikasema rayvany wa juzi tu kashapata mashabiki kiasi hichi!!!! Wakat yule jamaa akienda kule hajaz hata restaurant....Mm ni shabiki mkubwa sana wa huyu jamaa tokea kamwambie till this time.....lakini recently naona kama jamaa anaanza kupwaya iv maana yule diamond wa kutoa ngoma zinazosumbua media kuanzia bongo hadi nchi za nje simuoni tena....inasikitisha na kutia was was sana kama kuna nuru uko mbele inabidi yeye na manejiment yake wakae watulize vichwa ili kupata jawabu zuri ni wapi jamaa anakosea.......kwa ushauri mzuri ikiwezekana akae pembeni kwanza ili alisome game vizuri......mfano davido aliamuwa kuwa kimy kwa takribani mwaka mzima na sehem akilisoma game na come back yake imekuwa nzuri.
Weka mbali na watoto.....kweli maoni ni mk.ndu, kila mtu anao.
Wazo zuri,watu wameshachoka na style yake moja ya kucheza na kuimba,anatakiwa aongeze ubunifu kidogo.Mm ni shabiki mkubwa sana wa huyu jamaa tokea kamwambie till this time.....lakini recently naona kama jamaa anaanza kupwaya iv maana yule diamond wa kutoa ngoma zinazosumbua media kuanzia bongo hadi nchi za nje simuoni tena....inasikitisha na kutia was was sana kama kuna nuru uko mbele inabidi yeye na manejiment yake wakae watulize vichwa ili kupata jawabu zuri ni wapi jamaa anakosea.......kwa ushauri mzuri ikiwezekana akae pembeni kwanza ili alisome game vizuri......mfano davido aliamuwa kuwa kimy kwa takribani mwaka mzima na sehem akilisoma game na come back yake imekuwa nzuri.
Ndo upeo wako wa kuwaza umeishia apo tuna safari ndefu sana
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo tokea huu mwaka uingie katoa nyimbo ngapi maana miezi saba kuna week nying sana humoPale shughuli ndio imeisha analazimisha watu waendelee kumsikia kwa kutoa nyimbo kila wiki.
Ahsante kwa mchango wakoHivi umewahi kujiuliza kama Diamond ni mwanamuziki kweli? Dogo ana ngekewa tu ila si mwanamuziki na hata kuimba hajuwi, analazimisha tu.
Neyo kapoza kawa 20%percent wa marekanShida wanataka kuwa kama wizkid ambaye hata yeye pia bado anastruggle internationally. Atulie atupe ngoma kali kama zamani tutampokea ni wa kwetu huyu. Bado kwangu mimi nitarejea na kesho ni nyimbo bora sana kuliko hizi za sasa hivi japo sijui kaimba na neyo,mafikizolo etc. Halafu kingine sijajua kama ni uinternational au , suala la lugha isiyofaa kwa maneno na vitendo inamshushia credibility yake sana. Aangalie na upande huo. I'm not hating. Sina timu nimetoa mawazo yangu kama team Tanzania. Peace..
Kwaiyo unamaanisha kua ameanza Ku defense??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ndio maana ameanza kuuza karanga coz anajua hilo kuwa mziki umeaanza kugoma