Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Wabongo life liki wapiga always wanaombea watu kusanda. Yani hapa all i see is Hate. Kaza wewe !!!

Watu ka nyie ndio mnaendea ndugu zenu kwa waganga wasitoboe life zao. Watu ka nyie hamshindwi kabsa kuloga ndugu zenu wa damu wasifanikiwe...yani ni shida sanaa.

Nime loose ties na ndugu wengi sanaa wenye hulka kama yako. Nigg.a Change !!!!!
 

Zari unamlaumu kwa kosa gani?

ULipashwa kumlaumu Dai kwa kupata mke wa kiwango cha juu na mapenzi halisia, halafu yeye akashindwa kupandisha kiwango chake na kutaka kumlazimsha Zari ashushe kiwango chake aishi maisha ya ki swahili chenye ushamba, na ufuska wa wanaojiita sitaaa wa bongo.

Alitaka Zari the classy lady awe kama kina mabeto, wema, sijui kina nani wale insignificant, idiots and unfocused. Hao ndio saizi ya dai maana naona hata uwezo wake wa kufikiria na ndoto zake ni kuishi maisha aina ya hao vimalaya.

Achana na Zari.

Upumbavu wako ninauona kama mwanamke failure wa kiswahili unataka kumshawizi Dai kwamba likosea kumdate Zari badla ya kumwambia apate lesson you kuheshimu utu wa wanawake wenye heshima, na ajiheshimu n akwamba kaachwa kwa ajili ya ubazazi wake.

Kat ya hao mafuska wake, nani kama Zari? Wewe ungempata Zari ungemwacha? Eti 'NLIMWAMBIA ATAKUACHA), kwa nini hukumwambia aache upumbavu wa kufanay umalaya ambao ndio umemgarimu?

Ninakuona kama unalia na wivu wa kike na kutaka kuhalaisha kumshusha kiwango Dai kwa kuachwa na Zari. Bila shaka wewe ni kama kile ki mabete kichwa zero.
 
huu uzi umeandika huku uko tungi kama kawaida yako,unashangaa Diamond kuachwa na hawara ilhali wewe uliachwa na mke wa ndoa kisa kupombeka
 
Nafikiri umeandika maneno mengi ambayo hayana muunganiko.
Labda andiko lako lingejibu swali Diamond kanywang'anywa mali zipi na Diamond, au Amepoteza nini baada ya kuachana na Zari.

Je Zari ndio aliekua anamtungia nyimbo? Je Zaidi ameomdoka na computer za nyimbo za Diamond?

Otherwise ubongo wako haustahili kuwepo kwenye majukwaa haya
 
Nachukia sana watu wa aina yako ambao mnakaa kusubiri waliowazidi kushuka au kuanguka
 
Asee we naomba uamke siku moja unapete kidoleni na umevaa shela. Yaani kwa muandiko huu wewe future yako ni kuolewa tuu hamna namna. Inawezekena saivi unatafunwa ndotoni. Go live your dreams go wild out go get a man for your stupidity
 
Siwezi kumlaumu dogo, najua tatizo mfumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…