Chibu goooo usirudi nyumaaaa
Dangote hakutakiwa kuwa na maneno mengi coz yuko na mwingne now me naona akaushe tu mijineno neno hata haina maana
si unajua tena mambo ya TANDALEZ AINT ROYAL.....SO kile kiasili cha maneno mengi ya uswaz bado Kipo japo ashakua mtu mkubwa ila asili ya mtu ni kama ngozi........ pamoja na uswahili wake ila namkubali sana.....BIG UP SANA DIAMOND
Na kweli huwezi mtenganisha mswahili na maneno daaaa
Kesho mtoto atumwi mtu dukani mpaka nijionee exclusive maana sijakiona mtv
Hii nyimbo yake mpya kdg ingefanana na ile ya ukimuona... Ila ile ni bonge moja la songi
always jamaa hakosei.......
diamond yupo clouds this time anatambulisha ngoma!
big up kwa mshauri wake ambaye hutengeneza skendo kila diamond akikaribia kutoa ngoma mpya....hii ya kuachana na wema imewakamata sana raia!na ile ya kumtumia dogo kutoa ngoma aliyoiita diamond!........pia inshu yake na zari the boss lady!....jamaa wake wa hiko kitengo amejipanga saaaanaaaa!anahakikisha jamaa yupo mdomoni mwa raia daily
Watu wa mbeya matata... yaaa ------ wamwita Kingwendu... ama kweli duniani kuna mambo....